Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Nimekuumizaje na wapi na vipi mwanangu? Nimejitahidi kukuelimisha tena bure ukajitia hamnazo unataka nifanyeje mwanangu?
Tambua lugha ya mwandish ilkuwa na malengo yapi,mfano 'Yanga yaiua Algeria 3 bila' kimsingi Yanga haijaua[emoji120]
 
Mmh!! sema wasomi wetu Bongo hujiamini sana ila wakivuka mpaka huanza moja[emoji120]
Akili na uelewa kaka hauko kweny vitabu huko tushatoka siku nyingi baada ya kugundua tulikabidhiwa jezi na mchezo hatujauelewa saivi tunafany yaliyo nje kabsa na makaratasi na tunaishi vizur na watu[emoji2357][emoji16]
 
Si wote. Mie nilifika North America nilikosomea PhD yangu na bado nilikuwa natesa. Ni suala la mtu binafsi hili nadhani
Weng huwaaminisha hivyo sema binfsi spend kuweka wazi Educational status yang kwan haiendan na mazingira yang ya maisha
 
Weng huwaaminisha hivyo sema binfsi spend kuweka wazi Educational status yang kwan haiendan na mazingira yang ya maisha
Wasomi wengi mmeshindwa kulinda jamii zenu badala yake mmekuwa mawakala wa LGBTQ[emoji2380][emoji304](Japo syo wote)[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…