Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 7,672
- 9,039
kichwan tuko smart upstair😇😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka ujinga tunafany ila kichwan tuko smart upstair[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kichwan tuko smart upstair😇😇😇😇😇😇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kaka ujinga tunafany ila kichwan tuko smart upstair[emoji16]
Tambua lugha ya mwandish ilkuwa na malengo yapi,mfano 'Yanga yaiua Algeria 3 bila' kimsingi Yanga haijaua[emoji120]Nimekuumizaje na wapi na vipi mwanangu? Nimejitahidi kukuelimisha tena bure ukajitia hamnazo unataka nifanyeje mwanangu?
Nachoshukuru elimu yetu ni copy & paste[emoji16][emoji120]kichwan tuko smart upstair[emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji56][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Si kweli. Hii huitwa kupiga chuku. Ila hapa hakuna kupiga chuku wala nini bali ni utondoti utule tuTambua lugha ya mwandish ilkuwa na malengo yapi,mfano 'Yanga yaiua Algeria 3 bila' kimsingi Yanga haijaua[emoji120]
Kweli elimu yenu ni hivyo. Jitahidini mjielimishe basi badala ya kuridhika na ujinga hata ujuhaNachoshukuru elimu yetu ni copy & paste[emoji16][emoji120]
Kiaje labda,dadavua vzurSi kweli. Hii huitwa kupiga chuku. Ila hapa hakuna kupiga chuku wala nini bali ni utondoti utule tu
Nini maana ya ujinga?Kweli elimu yenu ni hivyo. Jitahidini mjielimishe basi badala ya kuridhika na ujinga hata ujuha
Kiaje! Du kumbe Mkenya! Waswahili husema kivipi au kwa vipi siyo kiaje. Du Ni wega muno kathuriKiaje labda,dadavua vzur
Ujinga maana yake in ile hali ya kujua mambo mengiNini maana ya ujinga?
Mmh!! sema wasomi wetu Bongo hujiamini sana ila wakivuka mpaka huanza moja[emoji120]Ujinga maana yake in ile hali ya kujua mambo mengi
Akili na uelewa kaka hauko kweny vitabu huko tushatoka siku nyingi baada ya kugundua tulikabidhiwa jezi na mchezo hatujauelewa saivi tunafany yaliyo nje kabsa na makaratasi na tunaishi vizur na watu[emoji2357][emoji16]Mmh!! sema wasomi wetu Bongo hujiamini sana ila wakivuka mpaka huanza moja[emoji120]
Si wote. Mie nilifika North America nilikosomea PhD yangu na bado nilikuwa natesa. Ni suala la mtu binafsi hili nadhaniMmh!! sema wasomi wetu Bongo hujiamini sana ila wakivuka mpaka huanza moja[emoji120]
Weng huwaaminisha hivyo sema binfsi spend kuweka wazi Educational status yang kwan haiendan na mazingira yang ya maishaSi wote. Mie nilifika North America nilikosomea PhD yangu na bado nilikuwa natesa. Ni suala la mtu binafsi hili nadhani
Yeah! Always iko ivo yani tena mhuni yeye hupewa bure na pesa zako juu[emoji16][emoji16]Hata makahaba ni mademu za watu,wewe unauziwa mmiliki anapewa bure
Kifua Cha Malaya kimebeba laana na mikosi maana ni Kama Dustin la wanaume kutupia uchafu waoNi kweli ila machangu wana mikosi wengi wao
Kaa chonjo
Kiukwel wanaume tunafany kubadilshana uchafu tu[emoji16][emoji16]Kifua Cha Malaya kimebeba laana na mikosi maana ni Kama Dustin la wanaume kutupia uchafu wao
Sema ina raha yake kama nilivyoelza apo juuKiukwel wanaume tunafany kubadilshana uchafu tu[emoji16][emoji16]
Pole sana dogo. Ila huna haja ya kuionea aibu elimu yako kwani umehenyekea na ni stahiki yako. Ungekuwa huku majuu ningekupa mchongo wa kuiongezaWeng huwaaminisha hivyo sema binfsi spend kuweka wazi Educational status yang kwan haiendan na mazingira yang ya maisha
Wasomi wengi mmeshindwa kulinda jamii zenu badala yake mmekuwa mawakala wa LGBTQ[emoji2380][emoji304](Japo syo wote)[emoji16]Weng huwaaminisha hivyo sema binfsi spend kuweka wazi Educational status yang kwan haiendan na mazingira yang ya maisha