Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Nina elimu kubwa kaka japo hata hyo majuu utaishia kuiona Google au BBC[emoji16]Pole sana dogo. Ila huna haja ya kuionea aibu elimu yako kwani umehenyekea na ni stahiki yako. Ungekuwa huku majuu ningekupa mchongo wa kuiongeza
Si kweli. Kama una elimu ya uhakika majuu unaweza kufundisha, kutibu au kufanya yale uliyosomea. Tatizo ni kwamba kama umesoma vyuo vyenu vya kuhongana na kukomoana, hawatakuamini huku watakurudisha darasani ujithibitisheNina elimu kubwa kaka japo hata hyo majuu utaishia kuiona Google au BBC[emoji16]
Mmmh!! watu wenye elimu ni wale walioweza kuzisaidia nchi zao na kutokubal utaratibu na utamaduni wa watu wengine.Mfano,binafsi mm nafanya kazi na watu wwupe hapa hapa Bongo na wananiita black afu wanankubal kinoma kutokana cna shobo naoSi kweli. Kama una elimu ya uhakika majuu unaweza kufundisha, kutibu au kufanya yale uliyosomea. Tatizo ni kwamba kama umesoma vyuo vyenu vya kuhongana na kukomoana, hawatakuamini huku watakurudisha darasani ujithibitishe
Karbu mkuuNafatilia ili nijue nikajikite wapi
Jikite popote tu mkuuNafatilia ili nijue nikajikite wapi
[emoji16][emoji16][emoji16]We endelea kula mizigo
Nalog off
nmejtahd kuacha kununua hawa Dada's nmeshdwa nikipita maeneo yao lazma niingieHabari za usiku huu wakuu,itifaki ime zingatiwa.Mimi ni kijana mchakalikaji ambae sijaoa.
Kutokana na adha za mapenzi na uchumi nimeamua kuwa nanunua makahaba pale napohisi kukidhi haja zangu za kimwili,hii imetokana na sababu kama vile:[emoji116]
1.Kumiliki demu na kuyaendesha mapenzi nimekuwa nikitumia gharama kubwa,pia usumbufu na makelele katika mapenzi vimekuwa kero kwangu.
2.Makahaba hawana mambo mengi buku 5 yako tu unakula mzigo manzi yoyote kali afu hamjuani wala kupigiana simu za kupigana mizinga.
3.Kiuchumi nimepiga hatua kubwa tangu nilipoanza kutumia njia hii,wengi mtasema kuhusu VVU na magonjwa mengine ya ngono ila hiyo ni GG maana hata uwe na mpenzi wa kudumu hayo yenyewe huwezi kuyaepuka kwani haina pasiwedi wala hujamfunga kamera.
4.Stress zimepungua mpaka nimeanza kuwa na mwili pia stamani kabisa kuwa na mpenzi kabisa.
NB:Nitaoa mke wakati ukifika maana bado najipanga staki mtoto wa mtu ateseke[emoji120]
Kwakwel ifike muda kila mtu aheshimu ulaibu wa mwenzie yani mm ndo sijiwez kabsa nikiona kalio huo ndo udhaifu wangu,chaajab😛ombe,sigara sigusi[emoji16]nmejtahd kuacha kununua hawa Dada's nmeshdwa nikipita maeneo yao lazma niingie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ishi maisha unayopendaKwakwel ifike muda kila mtu aheshimu ulaibu wa mwenzie yani mm ndo sijiwez kabsa nikiona kalio huo ndo udhaifu wangu,chaajab😛ombe,sigara sigusi[emoji16]
Mkuu naona hatuja fika,kutamani robot.Bora roboti za elon musk
Kwahiyo utakuwa ni mtu wa mazoezi tuuuuuuu[emoji3061][emoji848] aarrgghh!!!Yes hata hii hali ya hewa, ndo inazidisha ila we acha piga tizi nzuri upwiru wote kwisha mbona
Unatumia pombenmejtahd kuacha kununua hawa Dada's nmeshdwa nikipita maeneo yao lazma niingie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazoezi yatakusaidia kama umeoa mazoezi yanaongeza hamu ya kuhitaji tendo kila maraYes hata hii hali ya hewa, ndo inazidisha ila we acha piga tizi nzuri upwiru wote kwisha mbona
[emoji1787][emoji91]Umeona shid, kama ungekua Dar huko Kigamboni kuna sehemu ningekuelekeza inaitwa mk#nd# buku
Mwache ale mizogoachana na machangudoa ni mkosi kwenye maisha
Angu means own, ni basi tu umeamua kumchosha mwenzako lkn ukweli tunamiliki, tunamilikiwaUnamaanisha nini? Amchukue wapi na vipi wakati ushasema ni mke wangu? Pamoja na kuwa mke wangu, siwezi kusema nammilki mke wangu. Nasema nimeoa mke wangu, tumezaa watoto wetu nk