Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Si kweli. Kama una elimu ya uhakika majuu unaweza kufundisha, kutibu au kufanya yale uliyosomea. Tatizo ni kwamba kama umesoma vyuo vyenu vya kuhongana na kukomoana, hawatakuamini huku watakurudisha darasani ujithibitishe
Mmmh!! watu wenye elimu ni wale walioweza kuzisaidia nchi zao na kutokubal utaratibu na utamaduni wa watu wengine.Mfano,binafsi mm nafanya kazi na watu wwupe hapa hapa Bongo na wananiita black afu wanankubal kinoma kutokana cna shobo nao
 
Habari za usiku huu wakuu,itifaki ime zingatiwa.Mimi ni kijana mchakalikaji ambae sijaoa.

Kutokana na adha za mapenzi na uchumi nimeamua kuwa nanunua makahaba pale napohisi kukidhi haja zangu za kimwili,hii imetokana na sababu kama vile:[emoji116]

1.Kumiliki demu na kuyaendesha mapenzi nimekuwa nikitumia gharama kubwa,pia usumbufu na makelele katika mapenzi vimekuwa kero kwangu.

2.Makahaba hawana mambo mengi buku 5 yako tu unakula mzigo manzi yoyote kali afu hamjuani wala kupigiana simu za kupigana mizinga.

3.Kiuchumi nimepiga hatua kubwa tangu nilipoanza kutumia njia hii,wengi mtasema kuhusu VVU na magonjwa mengine ya ngono ila hiyo ni GG maana hata uwe na mpenzi wa kudumu hayo yenyewe huwezi kuyaepuka kwani haina pasiwedi wala hujamfunga kamera.

4.Stress zimepungua mpaka nimeanza kuwa na mwili pia stamani kabisa kuwa na mpenzi kabisa.

NB:Nitaoa mke wakati ukifika maana bado najipanga staki mtoto wa mtu ateseke[emoji120]
nmejtahd kuacha kununua hawa Dada's nmeshdwa nikipita maeneo yao lazma niingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha nini? Amchukue wapi na vipi wakati ushasema ni mke wangu? Pamoja na kuwa mke wangu, siwezi kusema nammilki mke wangu. Nasema nimeoa mke wangu, tumezaa watoto wetu nk
Angu means own, ni basi tu umeamua kumchosha mwenzako lkn ukweli tunamiliki, tunamilikiwa
 
Back
Top Bottom