Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Weng wanaotupinga sisi wazee wa dangaz nao ni wateja pia au wana tamani ila wanakosa pa kuanzia[emoji120][emoji16]
Mm nimepiga Sana wahaya Tandika, Sudan, sugar Ray/sokota, manzese, buguruni, mwananyamala na msasani
 
Wa wapi huyo mama mchungaji?
 
Mm nimepiga Sana wahaya Tandika, Sudan, sugar Ray/sokota, manzese, buguruni, mwananyamala na msasani
Weng wamesema tuoe ila chaajabu waliooa ndo hao tunakutata nao pale,je nao tuwashaur nini maana kada zote tuko nazo pale kuanzia wana siasa,wasomi,viongoz wa dini nk japo weng huja na magar full tinted sisi tunapewa kwa buku 5 wao wanatoa laki au zaidi[emoji16][emoji16]
 
Hiyo tunaiita GG kaka[emoji16][emoji1666]
 
Hivi hapa mnajadiri mapenzi au ngono!!!
Mpenzi nijuavyo ni zaidi ya sex.
Ni package kubwa.
Ni rafiki no 1.
Na kiuhalisia katika mchezo huu, ngono mnayojadiri mbadala zake kadhaa(ambao sipingi sana) ni hitaji la mwisho kabsa.
Nadharia yangu ndiyo hufanya mtu kungonoka weeee mwisho akaoa/akaolewa.
Ukweli ni kwamba jiwekee sera binafs za kucheza mchezo huu bila makwazo na ziwe zinatekelezeka.
Utampata tu anayefit matakwa yako japo si rahis kwa 100% kama usivyo kivile kwake.
..KANUNI MUHIMI NI ..UNAPATA UTOACHO.
..Toa upendo utapewa pia.
 
Ni kwel ila tumejitaid kuyafany yote hayo ila tumeishia kuhatarisha uchumi tu[emoji2357]
 
Wapo madem cheap mkuu tatizo lenu ni udomo zege na kutojiamini ndio maana pesa mnaweka mbele kama tai.
Dem akikupiga kizinga huwezi kuchomoa, lazima mapenzi yakutese kwa namna hiyo.
 
Wapo madem cheap mkuu tatizo lenu ni udomo zege na kutojiamini ndio maana pesa mnaweka mbele kama tai.
Dem akikupiga kizinga huwezi kuchomoa, lazima mapenzi yakutese kwa namna hiyo.
Mapenzi ya sasa pesa ndio inayoamua iwe kwenye ndoa iwe kwenye uchumba
Mwanamke atakayekupenda bila pesa ni mama tu

mwanamke unaweza kumpata ila bila pesa hawezi kukuheshimu kitu ambacho ni muhimu sana kwetu
 
Wewe ukiamua lako litimize tu! Hii dunia we fanya kile ambacho kinakupa furaha na hakimkwazi mtu mwngn!

Enjoy maisha siku hizi tunakufa tukiwa wadogo
 
Mapenzi ya sasa pesa ndio inayoamua iwe kwenye ndoa iwe kwenye uchumba
Mwanamke atakayekupenda bila pesa ni mama tu

mwanamke unaweza kumpata ila bila pesa hawezi kukuheshimu kitu ambacho ni muhimu sana kwetu
Ndicho ulichokalili na hicho ndo kunafanya muwe na uoga sana.

Huyo mwamba hapo anasema alikua anatumia laki 3 kwa mwezi kwa ajili ya dem, sasa si ujuha huo.
Hata kama mapenzi ni pesa ila sio kutumia 300k per month kwa dem na huku kipato chako ni kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…