Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Ni kweli kabisa changudoa wengi hawafai wengi wafanya matukio muda mwingine huwa nawaza ni kama kujishusha utu wako japo wanasaidia inapotokea emergency kitu kingine wanawake kwa sasa sio wakuwazingatia sana hasa kama huna kipato mapenzi yamekuwa ni biashara ambayo upande mmoja tu ndio unaonufaika jambo la msingi kwa vijana watafutaji kujiepusha na matumizi ya pombe yanachangia sana kufanya uzinzi ukiacha pombe unaweza toboa ata miezi 6 bila kuhitaji tendo ukapata muda mzuri wakutengeneza maisha yako mazuriKama wewe ni hustler basi changudoa hawakufai nakushauri kwa nia njema tu.
Sent using Jamii Forums mobile app