Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie!
Sema waache kukusumbua sio kutusumbua. Unajuaje kama sie wengine hatupendi?
 
Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
Utaskia shemeji nikusindikize?
 
Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
Pita mbali nao! acha kulalama vitu vinavyo epukika...
 
Hawana heshima kabisa. Moja alwahi kunifuata msalani , akaanza naomba nikushikie kaka... Yaani anishikie mdeki wakati najisaidia haja ndogo... Huku akiichungulia... Pumbavu kabisa !!!
 
Umeandika mbio mbio, Mbagala kubwa sana mzee. Mbagala 7&7, Kipati, Mbagala Kuu, Zhakheem, Rangi 3, Maji Matitu, Kibonde Maji au wapi?
Mimi nawaona pale sokoni njia ya charambe iliyofungwa na kuna bàa kubwa ipo karibu na Simba Oil
 
Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
Yaan MWANAMKE kufikia kua ivyo ni REJECT....

Wamavuta BANGI na UGORO na VIROBAA....

WAMEKATA RINGI
 
Back
Top Bottom