Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kujikatia Tamaa....maisha ni magumu sana dar es salaam....Halafu wachafu kishenzi na wengi Age imeenda.
Dar es salaam ni PEPONI NA KUZIMU KWA BAADHI YA WATU......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujikatia Tamaa....maisha ni magumu sana dar es salaam....Halafu wachafu kishenzi na wengi Age imeenda.
Hapana mkuu, huko daily mimi natia mguu kuanzia Mission& Kibonde Maji Garage,Chudasama,Mwandege mpaka vikindu sheli hao huwa wanakuwa kwenye mabaa,gereji na parking za maroliUnaomba location kiaina.
True,Akishakuwa kahaba tayari ni mchafu wa mwili na roho
Mkuu ama mbagala njoo kibamba huku hakuna upuuzi kama huo.Makahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.
Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
We mjukuu nawe....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa si ungewaambia hapo hao makahaba au walikuambia na JF pia wapoo?? Woiiiiiih
Nimekaa pale.Uko wapi tukuelekeze.
🤭 sure mbagala zakhiem bar ni balaa usumbufu si wa kitoto pia ni hatari sana kwa asie mwenyejiMakahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.
Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
Kwann?? [emoji23][emoji23][emoji23]walio karibu yangu wanaenjoy kwakweli[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliiii, tukae kwa password, woiiiiiihHuwezi jua udugu akee JF kichakaa kinenee!!
Sikua najua mie etiAu hujui ilo cocastic[emoji338]
Khaaaaah kumbe alikua anawastua wana?? Sijasoma kwa Fidel Castro ndo maana hivyoo babu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We mjukuu nawe....
Tayari ni ngazo hilo (hata kama mleta mada hakukusudia hivyo)...au kwa vile hujasoma Cuba?
Huoni hapo juu tayari mabaharia wanaulizia ni Mbagala ipi hasa? Na ameshawaelekeza! [emoji16][emoji16][emoji16]
Bila shaka yalikukuta na weweHAJAKOSES KUANDIKA HUMU KWAMAANA HATA HUKU MAKAHABA WAMO
MWANAJIFICHA KWA MGONGO KUTUMA NAULI HALAFU INALIWA
😂😂Shemeji tenaMakahaba mnaojiuza Mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia. Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo.
Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono, hata usipojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ujumbe wako mkuu kama wamo humu wamekusikia, ila ingekuwa vyema ukachukua kipaza sauti na kwenda kuwaambia laivu makahaba wale kuliko kuja humu maana nadhani humu wamejaa great thinker, wafate mkuu au unaogopa wanaweza kukubabu seya? maana usizani wale wote wanawake maana kuna vidume vinaaga familia usiku vinaenda kutafuta kumbe vimeenda kuuza t*go ili familia iende toi**t na wanaitwa baba, kwa hiyo mkuu wafate huko huko usigope ila watakacho kufanya usituletee mlejesho humu.