Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Makahaba mnaojiuza mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia.Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo .

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono ata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie!
Kaka Hali ya sasa ni ngumu wanaume tumebaki wachache na sasa tushashtuka no sex no money 💰 kibunda tushaambiwa atuna watuache bhn😂😂
 
Makahaba mnaojiuza mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia.Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo .

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono ata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie!
Mbagala ipo wapi mkuu? Na sisi tukajionee isije ikawa unawasingizia.
 
Makahaba mnaojiuza mbagala acheni kusumbua watu wanaopita njia.Sio kila mtu ni mteja wa uchafu wenu huo .

Mtu anapita ametoka kazini wanaaza kukuita shemeji mara wakuvute mkono ata usiojibu anakufata na kusumbua hata aibu hamna sheenzi kabisaa, mbwa nyie!
Kuna siku utawatafuta
 
Back
Top Bottom