Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Habari za usiku huu wakuu,itifaki ime zingatiwa.Mimi ni kijana mchakalikaji ambae sijaoa.

Kutokana na adha za mapenzi na uchumi nimeamua kuwa nanunua makahaba pale napohisi kukidhi haja zangu za kimwili,hii imetokana na sababu kama vile:[emoji116]

1. Kumiliki demu na kuyaendesha mapenzi nimekuwa nikitumia gharama kubwa,pia usumbufu na makelele katika mapenzi vimekuwa kero kwangu.

2. Makahaba hawana mambo mengi buku 5 yako tu unakula mzigo manzi yoyote kali afu hamjuani wala kupigiana simu za kupigana mizinga.

3. Kiuchumi nimepiga hatua kubwa tangu nilipoanza kutumia njia hii,wengi mtasema kuhusu VVU na magonjwa mengine ya ngono ila hiyo ni GG maana hata uwe na mpenzi wa kudumu hayo yenyewe huwezi kuyaepuka kwani haina pasiwedi wala hujamfunga kamera.

4. Stress zimepungua mpaka nimeanza kuwa na mwili pia stamani kabisa kuwa na mpenzi kabisa.

NB: Nitaoa mke wakati ukifika maana bado najipanga staki mtoto wa mtu ateseke[emoji120]
Umekua ukitumia gharama sababu unaamini mapenzi ni pesa.
Kwaiyo inabidi utumie pesa ili ulinde penzi/ upate penzi.

lakini sio lazima iwe hivyo.
badili tu mtazamo na utayafurahia mahusiano. Haijaandikwa sehemu ukiwa na mwanamke basi utumie zaidi ya bajeti yako.
kingine ni kukubali gharama.

kikubwa angalia baada ya miaka 10, usije ukaishi mpweke.
 
Ndicho ulichokalili na hicho ndo kunafanya muwe na uoga sana.

Huyo mwamba hapo anasema alikua anatumia laki 3 kwa mwezi kwa ajili ya dem, sasa si ujuha huo.
Hata kama mapenzi ni pesa ila sio kutumia 300k per month kwa dem na huku kipato chako ni kidogo.
Haijalishi mtu hana hela watu wanatumia pesa kuhonga mademu zao vitu hizi smartphone za gharama wanazomiliki dada zako unazani nani anaenunua mapenzi bila pesa wewe ni mpenzi mtazamaji tu
 
Cha muhimu ni kukaa single na Mwanamke anayehitaji pesa yako Mwambie mfanye Biashara hii ni kwa vijana watafutaji na wenye Malengo ya kumiliki ghorofa wakifika umri wa miaka 40
 
Kula dangaz tu mkuu kumiliki demu ni utumwa,ila ni mawazo yangu mkuu ila kwa wiki natumia buku 5 tu ndo utaratibu nlojiwekea na nimeweza ku-manage uchumi tofauti na nyuma
Tatizo mkuu hawa ukiwaendekeza sana utajikuta unapata hadi tabia zngne za kula tigo. Angalia sana mkuu
 
Umekua ukitumia gharama sababu unaamini mapenzi ni pesa.
Kwaiyo inabidi utumie pesa ili ulinde penzi/ upate penzi.

lakini sio lazima iwe hivyo.
badili tu mtazamo na utayafurahia mahusiano. Haijaandikwa sehemu ukiwa na mwanamke basi utumie zaidi ya bajeti yako.
kingine ni kukubali gharama.

kikubwa angalia baada ya miaka 10, usije ukaishi mpweke.
Ntaoa ila bado tu
 
Kumhudumia mwanamke asye mkeo kaka ni gharama afu utumie pesa kibao bado mle weng,si bora tu kula dangaz ieleweke moja[emoji16]
Haha sema madada ambao hawaomb hela sana wapo ila ndio kama bahat ya mtende
 
Kama wewe ni hustler basi changudoa hawakufai nakushauri kwa nia njema tu.
Habari za usiku huu wakuu,itifaki ime zingatiwa.Mimi ni kijana mchakalikaji ambae sijaoa.

Kutokana na adha za mapenzi na uchumi nimeamua kuwa nanunua makahaba pale napohisi kukidhi haja zangu za kimwili,hii imetokana na sababu kama vile:[emoji116]

1. Kumiliki demu na kuyaendesha mapenzi nimekuwa nikitumia gharama kubwa,pia usumbufu na makelele katika mapenzi vimekuwa kero kwangu.

2. Makahaba hawana mambo mengi buku 5 yako tu unakula mzigo manzi yoyote kali afu hamjuani wala kupigiana simu za kupigana mizinga.

3. Kiuchumi nimepiga hatua kubwa tangu nilipoanza kutumia njia hii,wengi mtasema kuhusu VVU na magonjwa mengine ya ngono ila hiyo ni GG maana hata uwe na mpenzi wa kudumu hayo yenyewe huwezi kuyaepuka kwani haina pasiwedi wala hujamfunga kamera.

4. Stress zimepungua mpaka nimeanza kuwa na mwili pia stamani kabisa kuwa na mpenzi kabisa.

NB: Nitaoa mke wakati ukifika maana bado najipanga staki mtoto wa mtu ateseke[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom