Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Kahaba ni mwanamke ambae yuko tayari kingono na mwanaume yoyote kwa sharti la malipo
Wanawake wengi wa siku hizi wapo kwenye hilo kundi ila hawajijui ukijichanganya hata mke wako anaweza kuwa humohumo
 
Huyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Kwamba Hali,havai,hapati huduma za afya nk!!..au mnadhani ni haki yenu kuhudumiwa Kisha muwachukulie wanaume Kama kaka zenu!!?..mavuzi hunyoi,unatenga tu uchi una nywele Kama mdomo wa sokomoko
 
Tukubali tukatae, ukweli unabaki kuwa starehe ya ndoa, ipo nje ya ndoa!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndivyo unavyodhani. Lakini mimi nakuahakikishia kuwa starehe ya ndoa, tendo la ndoa ni sehmu tu! Swali: Je, ukiona mwanamke mzuri sana, anayejua kufanya mapenzi sana lakini akawa ni kahaba, ndoa yako itakuwa na starehe?
 

Wapoo
 
JANAMKE LINAKAA MITANDAONI KUTETEA WANAWAKE WENZIE UKILIAMBIA NIPE NYAPU LINAKUNUNIA NA KUKUAMBIA ETI LIMECHOKA
Daah!Kumbe Ndoa Zina Mambo.Naendelea Kujifunza...

Wakati Niko Mdogo Nilikuwa Najua Unaiweka Tu Shimoni alafu Unatulia,Kumbe Kuna Kazi Ya Kuisukuma Tena.
Nimekuwakuwa Nikawa Najua Ukioa Unaiweka Tu Ukitaka kumbe Kuna Kuiomba Na Kwenye Kuiomba Kuna Kunyimwa, Hili Nimelijua Juzi.
Hii Ndio Raha ya Hivi Vijiwe Vya Mitandao Unajifunza mambo Mengi Kutoka Kwa Wakubwa.
 
Kwa kauzofu kangu kadooogo. Mkeo anatabu sana. Anajuta kuolewa na wewe. Kama viwanja vyote vya kupata huduma ya makahaba unavijua, basi mkeo anakujua kuliko sisi na zaidi ya kile umeandika na ameshajikatia tamaa ya kuolewa na wewe. Halafu unamaamuzi ya kukurupuka sana. Alama na kipimo cha mume bora ni yule mwenye uwezo wa kugeuza mambo magumu ktk ndoa ili yawezekane kwa kutumia AKILI KUBWA NA HEKIMA. Ndiyo maana tunaambiwa tuishi nao kwa akili. Kama uwezo wako wa kutumia akili vzr ni mdogo mbele ya mwanamke basi hukutakiwa kuoa.
 
Mkuu umemwaga ugali na mboga kabisa humu. 😀

Wakusikia na wasikie, kiufupi wanaume tunapenda kugongana mara kwa mara na tena kwa njonjo na ubunifu mkubwa. Sasa wanawake changamkeni kuolewa sio ticket ya uzembe.
 
Haya mambo ndio hali halisi kwenye familia nyingi, ila kuliko kuhangaika na malaya ni bora kutafuta na uhudumie mchepuko unaokupa raha za uhakika na hata ukishikwa majuto hakuna/kidogo , na uwe na plan B ili ukikamatwa au mambo yakienda vibaya ujue namna ya kuendelea mbele, mambo ya kupigana na mwanamke kila siku au kumalizia pesa kwa malaya ni kujitafutia kufa mapema tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…