Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maharihalipwi
Kwamba Hali,havai,hapati huduma za afya nk!!..au mnadhani ni haki yenu kuhudumiwa Kisha muwachukulie wanaume Kama kaka zenu!!?..mavuzi hunyoi,unatenga tu uchi una nywele Kama mdomo wa sokomokoHuyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Ndivyo unavyodhani. Lakini mimi nakuahakikishia kuwa starehe ya ndoa, tendo la ndoa ni sehmu tu! Swali: Je, ukiona mwanamke mzuri sana, anayejua kufanya mapenzi sana lakini akawa ni kahaba, ndoa yako itakuwa na starehe?Tukubali tukatae, ukweli unabaki kuwa starehe ya ndoa, ipo nje ya ndoa!
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mimi ndio mfugaji wa jamii hizo za ndege, kunguru hafugikiMkuu aliyekwambia kunguru hafugiki nani?
Kwahyo unacheat ili ukagundue nini kama hupendi kufanya mapenzi. Na ndio leo naskia kwako kwamba kuna mtu hapendi kufanya mapenzi[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] yaani mko sawa hakuna mwenye ugonjwa hakuna harufu mbaya kitandani show kali alafu mtu asipende kufanya mapenzi na mwanandoa mwenzake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mambo ngoja ninyamaze tu
Daah!Kumbe Ndoa Zina Mambo.Naendelea Kujifunza...JANAMKE LINAKAA MITANDAONI KUTETEA WANAWAKE WENZIE UKILIAMBIA NIPE NYAPU LINAKUNUNIA NA KUKUAMBIA ETI LIMECHOKA
Mkisha zoeana ,mahaba yanapungua . Wanawake ambao wako bize na utafutaji wa pesa hawana mahaba. Kwa hiyo michepuko ndio inatumika kuziba gap na kuzifanya hizo ndoa ziwepo hata kama Kwa kufekiUkimweka ndani nae huwa hovyo kuliko hata uliye nae
Kwahio ile million 3 tulioleta na mshenga kwenu ilikuwa zawadi sio gharama.Huyo wa nje analipwa mkuu, afu huyu wa ndani halipwi ndo tofauti. Wa nje unamgharamikia hata laki lakini wa ndani hata dera la elfu 5 humnunulii.
Mkuu umemwaga ugali na mboga kabisa humu. 😀Ukatae au Ukubali,wengi wa wanaume wanataka wanapofanya tendo la ndoa waridhike.
Unakuta mwanaume analala na mwanamke wake lakini janamke limekuwa kama gogo tu ndani ya nyumba,ukiliambia geuka uiname hivi linakuvutia midomo kama manati.Unadhani mwanaume gani anataka kero?,Mwisho wa siku akipita Magomeni pale akakuta mama poa yakaanza kumshika shika pumbu kwa bashasha huku yakimkatikia mauno ya karne ataacha kupiga?.
Nyumbani kwako ukimwambia mwanamke twende tukaoge lenyewe linavuta midomo kama kisonso,halafu hapo Buguruni mnaingia wote na kahaba kuoga sasa mniambie hapa mwanaume gani ataacha kununua kahaba?
Unakuta janamke linanuka kutwa nzima haliogi,Kuoga mpaka mpigizane kelele,umetoka ummenda zako kupiga urabu mahali fulani ukakutana na mtoto wa Singida ananukia utuli wenye laana,unadhani utaacha kupiga?
Umelichia li mwanamke lako hela nyumbani ukiwa na matumaini ukirudi ukute msosi,wewe unatoka kwenye mihangaiko au kazini unakuta limelala kwenye kochi linatazama tamthilia ya huba,ukiliuliza kuhusu chakula linakujibu kwa nyodo na dharau kwamba halijapika limechoka.
Unaondoka zako unasogea Mwenge hapo kupata msosi unakutana na mwanamke ambaye anatabasamu muda wote,unadhani utaacha kupiga?
Una mwanamke wako ambaye yeye kutwa kushinda kwao,ukimwambia aje upige mashine analeta sababu za kijinga,unaamua kutoka zako unaibuka pale Mabibo unakutana na toto lenye shepu kuliko hata mwanamke wako,unaliimbisha linajaa,unadhani hutapiga?
Mwanamke anakuletea nyodo na dharau ndani na ajifanya kulala mzungu wa nane,unambembeleza lakini anajifanya kukaza,kwa hasira unaondoka zako unaelekea triple 777 kupata moja moto na moja baridi!,Mara ghafla muhudumu huyo anakuja anajichekesha na ukisema nae anaitikia,unadhaji utaacha kupiga?
Kwa kifupi
Mwanaume hana Tamaa ila mwanamke ndiye anasababisha mwanaume awe na tamaa!