Yah tunarudi pale pale.. Ndoa na sex ni kama uji na mgonjwa lazma watu wapeane bila mipaka na kwa upendo wa hali ya juu.Wengi watapinga lakini hakuna ndoa kama tendo la ndoa mnapeana kwa kupimiana kama dawa iwe mwanamke au mwanaume hakuna maana ya ndoa, maendeleo hta wasio na ndoa hayo maendeleo wanafanya. Kikubwa tubadilike Asante kwa ukumbusho mtoa mada.
Wanawake wa hivyo ni wale wavivu type ila sababu alikuwa anaitafuta ndoa alijifanya ana sifa zote za mke😀😀😀Mnamsakana mleta mada ila kiasi yupo sahihi, ati kisa mke ndo asioge? Embu nambie huyu ambae haohi atapiga mswaki?
Kuna wanawake unajiuliza ilikuwa vipi akaolewa
Hahahah mtt Jesca unanikosha sana yani jinsi ambavyo uko real. 😀 Mitano kwako tena.Sio kweli kama kitu hapendi ni hapendi tu hivi unafikiri mpaka watu wanacheat hawajayaongea wee bhna wew
Uko sahihi kwa asilimia flani ila mi naona 3 yrs yote muishi pamoja ili kila mmoja awe comfortable na mwenzie ili tabia za kishwaini zionekaneKwa mm 3 yrs 2 ya kila mtu kuishi kivyake na 1 kuishi pamoja afu ndo muamue
Hahahah kwa humo kayumba huyoKwahyo unacheat ili ukagundue nini kama hupendi kufanya mapenzi. Na ndio leo naskia kwako kwamba kuna mtu hapendi kufanya mapenzi😁😁😂😂😂 yaani mko sawa hakuna mwenye ugonjwa hakuna harufu mbaya kitandani show kali alafu mtu asipende kufanya mapenzi na mwanandoa mwenzake😂😂😂😂😂 kuna mambo ngoja ninyamaze tu
Inshu sikuongea,problem inaanzia kwenye movies/stories unapoangalia yanayofanyika na ww unataka kufanya/kufanywa hivyo hapo lazima utoke ukatafute kwakua ulienae hakupi hayo,kuna watu wanatembea mpk navijana wao wakazi kwakua show wanaijua vzr na hakuna malalamiko or mauzi,Sio kweli kama kitu hapendi ni hapendi tu hivi unafikiri mpaka watu wanacheat hawajayaongea wee bhna wew
Iko mambo ila tutafikaHahahah kwa humo kayumba huyo
hahahaha! Mzee ngonyani unatuangusha wazee wenzio. Tunawafundisha nini vijana wetu?Mkisha zoeana ,mahaba yanapungua . Wanawake ambao wako bize na utafutaji wa pesa hawana mahaba. Kwa hiyo michepuko ndio inatumika kuziba gap na kuzifanya hizo ndoa ziwepo hata kama Kwa kufeki
Ushauri mzuri sana. Mimi niliyapitia kidogo haya wakati wa UCHANGA wa ndoa yangu. Unavyomwona mwenzio na kumchukulia kwa mtazamo hasi, ndivyo naye anakuchukulia vivyo hivyo. Ukimthamini anakuthamini. Ukimpuuza vivyo hivyo.Waulize wanaume wanaochepuka na wake za watu wakwambie kama ulichoandika ni kweli[emoji1] vile unavomuwazia mkeo ndivyo nayy anakuwazia hivyo hivyo tena huko nje anavuta kitanda na anapiga bao zaidi ya moja teh teh teh
Ndoa inahitaji ubunifu tena sio mke tu anaepaswa kua mbunifu ni wote
Enewei OA KAHABA.
100%mume na mke watimizi majukumu ndoa itakuwa salama.Ushauri mzuri sana. Mimi niliyapitia kidogo haya wakati wa UCHANGA wa ndoa yangu. Unavyomwona mwenzio na kumchukulia kwa mtazamo hasi, ndivyo naye anakuchukulia vivyo hivyo. Ukimthamini anakuthamini. Ukimpuuza vivyo hivyo.
Mbona simpo tu. Akizingua kutoa mzigo we tafuta mchepuko uko nje jipigie zako ukirudi ndani vuta shuka maisha yaendelee. Akiona miezi inakata hlf umuombi K yake kama ana akili lazima atakaa sawa tu. @mods huu uzi umefikaje huku?Sema hizi ndoa zina mambo mengi..wanaume waliooa ndo watakua wanaelewa.Wanaume wanavumilia sana na ndo ukomavu wa akili.Wanawake kiukweli sex ni kama huwa sio kipaumbele chao...wakati wanaune tumeumbwa na matamanio....Wanaume kwenye ndoa wananyimwa sana tu, sema ndo hivyo wanapiga kimya...
Kwahio ile million 3 tulioleta na mshenga kwenu ilikuwa zawadi sio gharama.
Kwani unafikiri huo mchepuko wewe hupigiwi?Haya mambo ndio hali halisi kwenye familia nyingi, ila kuliko kuhangaika na malaya ni bora kutafuta na uhudumie mchepuko unaokupa raha za uhakika na hata ukishikwa majuto hakuna/kidogo , na uwe na plan B ili ukikamatwa au mambo yakienda vibaya ujue namna ya kuendelea mbele, mambo ya kupigana na mwanamke kila siku au kumalizia pesa kwa malaya ni kujitafutia kufa mapema tuu