Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Yah tunarudi pale pale.. Ndoa na sex ni kama uji na mgonjwa lazma watu wapeane bila mipaka na kwa upendo wa hali ya juu.Wengi watapinga lakini hakuna ndoa kama tendo la ndoa mnapeana kwa kupimiana kama dawa iwe mwanamke au mwanaume hakuna maana ya ndoa, maendeleo hta wasio na ndoa hayo maendeleo wanafanya. Kikubwa tubadilike Asante kwa ukumbusho mtoa mada.