Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Wengi watapinga lakini hakuna ndoa kama tendo la ndoa mnapeana kwa kupimiana kama dawa iwe mwanamke au mwanaume hakuna maana ya ndoa, maendeleo hta wasio na ndoa hayo maendeleo wanafanya. Kikubwa tubadilike Asante kwa ukumbusho mtoa mada.
Yah tunarudi pale pale.. Ndoa na sex ni kama uji na mgonjwa lazma watu wapeane bila mipaka na kwa upendo wa hali ya juu.
 
Kwahyo unacheat ili ukagundue nini kama hupendi kufanya mapenzi. Na ndio leo naskia kwako kwamba kuna mtu hapendi kufanya mapenzi😁😁😂😂😂 yaani mko sawa hakuna mwenye ugonjwa hakuna harufu mbaya kitandani show kali alafu mtu asipende kufanya mapenzi na mwanandoa mwenzake😂😂😂😂😂 kuna mambo ngoja ninyamaze tu
Hahahah kwa humo kayumba huyo
 
Sio kweli kama kitu hapendi ni hapendi tu hivi unafikiri mpaka watu wanacheat hawajayaongea wee bhna wew
Inshu sikuongea,problem inaanzia kwenye movies/stories unapoangalia yanayofanyika na ww unataka kufanya/kufanywa hivyo hapo lazima utoke ukatafute kwakua ulienae hakupi hayo,kuna watu wanatembea mpk navijana wao wakazi kwakua show wanaijua vzr na hakuna malalamiko or mauzi,
Shida wamama wengine wakiolewa wanaona wamefika hakuna tena wakumsumbua
 
Waulize wanaume wanaochepuka na wake za watu wakwambie kama ulichoandika ni kweli[emoji1] vile unavomuwazia mkeo ndivyo nayy anakuwazia hivyo hivyo tena huko nje anavuta kitanda na anapiga bao zaidi ya moja teh teh teh

Ndoa inahitaji ubunifu tena sio mke tu anaepaswa kua mbunifu ni wote


Enewei OA KAHABA.
Ushauri mzuri sana. Mimi niliyapitia kidogo haya wakati wa UCHANGA wa ndoa yangu. Unavyomwona mwenzio na kumchukulia kwa mtazamo hasi, ndivyo naye anakuchukulia vivyo hivyo. Ukimthamini anakuthamini. Ukimpuuza vivyo hivyo.
 
Sema hizi ndoa zina mambo mengi..wanaume waliooa ndo watakua wanaelewa.Wanaume wanavumilia sana na ndo ukomavu wa akili.Wanawake kiukweli sex ni kama huwa sio kipaumbele chao...wakati wanaune tumeumbwa na matamanio....Wanaume kwenye ndoa wananyimwa sana tu, sema ndo hivyo wanapiga kimya...
 
Sema hizi ndoa zina mambo mengi..wanaume waliooa ndo watakua wanaelewa.Wanaume wanavumilia sana na ndo ukomavu wa akili.Wanawake kiukweli sex ni kama huwa sio kipaumbele chao...wakati wanaune tumeumbwa na matamanio....Wanaume kwenye ndoa wananyimwa sana tu, sema ndo hivyo wanapiga kimya...
Mbona simpo tu. Akizingua kutoa mzigo we tafuta mchepuko uko nje jipigie zako ukirudi ndani vuta shuka maisha yaendelee. Akiona miezi inakata hlf umuombi K yake kama ana akili lazima atakaa sawa tu. @mods huu uzi umefikaje huku?
 
Haya mambo ndio hali halisi kwenye familia nyingi, ila kuliko kuhangaika na malaya ni bora kutafuta na uhudumie mchepuko unaokupa raha za uhakika na hata ukishikwa majuto hakuna/kidogo , na uwe na plan B ili ukikamatwa au mambo yakienda vibaya ujue namna ya kuendelea mbele, mambo ya kupigana na mwanamke kila siku au kumalizia pesa kwa malaya ni kujitafutia kufa mapema tuu
Kwani unafikiri huo mchepuko wewe hupigiwi?
 
Back
Top Bottom