Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kama mna Agenda yenu ya kutaka Kukiimarisha Chama Cha Wapiga Punyeto Tanzania na kiwe na Wanachama wengi zaidi semeni tu tujue moja sawa?

Makahaba wengi walioko Mkoani Dar es Salaam (tena GENTAMYCINE naona hawatoshi) kiukweli wanasaidia mno Kutuondolea Wanaume wengi Stress ambazo Kutwa tunapata kutoka kwa Wake zetu na Wapenzi wetu.

Unamuomba Penzi Mkeo anakuambia hana Hamu (hajisikii) kwakuwa bado hajamaliza Kulipa Deni la VICOBA kwa Majina Manne anayocheza na kwamba nivumilie hadi amalize Kuyalipa ndipo atakuchanulia Miguu yake ufanye yako ya Kibaiolojia uwe Mwepesi na Maisha yaendelee.

Kwa majibu KERO haya Wanaume wengi wa Mkoa wa Dar es Salaam tukihamishia Majeshi yetu kwa Makahaba kuna Kosa?

Na Makahaba wa Siku hizi ni Wabunifu na wana Mbunye Tamu kuliko za Wake zetu.
 
Sàsa hivi wamwhamia mitandaoni na hawako Tena barabarani mitandao Kama Telegram na Exotic! Wateja hufanya order online na kuamua ama kumfuata kahaba au kahaba kumfuata mteja kwa ajili ya huduma ya ngono!

Kupiga kelele hadharani Kati haitakua njia sahihi ya kupambana na ukahaba
Na huko wanakutana na watu nashuhuri viongozi na wafanyabiashara wakubwa, na kwa maana hiyo wamekua professional prostitutes.

Hapa jijini Kuna ile inaitwa massage and SPA, zinatangazwa mpaka kwenye mitandao Kama Facebook! Kinacjofanyika kule Ni ukahaba na sio massage Wala sauna!

Biashara ya ukahaba Sasa Ina madalali pia kwahiyo to some extent Ni lucrative; wapo wanawake na wanaume hapa mjini wanaendesha maisha kwa kuwadalalia makahaba kwa wanaume nk!

Njia pekee Ni ama kuhalalisha kwa minajili ya kuongeza Pato la Taifa na Hawa tuwaite "Maafisa Mapenzi"
Ama tuiharamishe kwa kutunga Sheria rasmi ambalo najua kuwa ni Gumu Sana.

Ama wazazi walezi na sisi kwa sisi tuchukue muda kuelimishana hasara itokanayo na mabinti zetu kuwa makahaba na athari zitokanazo na wanaume kuambatana na mwanamke kahaba (kiimani, kimwili, na kiuchumi).

Vinginevyo kinachofanyika Ni ujinga mtupu, wapiga Vita ukahaba ndio wanunuaji wakubwa wa makahaba"
 

Attachments

  • Screenshot_20230316-082344.png
    Screenshot_20230316-082344.png
    113 KB · Views: 80
Sàsa hivi wamwhamia mitandaoni na hawako Tena barabarani mitandao Kama Telegram na Exotic! Wateja hufanya order online na kuamua ama kumfuata kahaba au kahaba kumfuata mteja kwa ajili ya huduma ya ngono...
Mwana una magroup mengi kinyama 😁
 
Back
Top Bottom