Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Hizi Taarifa za Makahaba wengi Dar zinatuchosha mnataka Waondolewe hivi kwa Kero za Wake zetu tutakuwa tunajipoza wapi?

Mada imetoka kwenye makahaba hadi kujadili elimu
Huyu msomi kanitoa kweny reli kabsa[emoji16]sisi tunazungumzia huduma za kijamii yeye anakuja na nadharia zake za binadam alikuwa nyani chaajabu huyo nyani yupo na binadam yupo japo kwenye yale mabadiliko kuna jamii fulani pale haijajiweka[emoji16]
 
Changudoa ni mwanamke wa aina gani?

Kama ni mwanamke anayegawa kwa kupewa hela, basi wanawake wote sasahivi ni machangudoa.
Kuna mke wa mchungaji full upako muda wote yesu hapa yeye hapa.

Jamaa yangu mmoja injinia alipiga hela za magendo kwenye kazi zake huko kama 1mil na uchafu, akachukua Laki moja kampatia yule mama mchungaji, palepale mama mchungaji chupi ililoa nyege,

Huku na huku jamaa akala mzigo kiroho safi, ingawa ilikuwa mahali pa siri sana.
Kwahiyo akili kumkichwa sheikh.
Jambo moja wanaume tunatakiwa tulielewe. Nyakati zimebadilika. Tena sana. Wanawake wa sasa hivi siyo wale wa zamani. Kwa nini sisi wanaume tunadhani ndiyo wenye haki ya kuchepuka kwenye ndoa/mahusiano na siyo wanawake? Sasa hapo utakuta huyo mchungaji ana kondoo wa kike anapiga hapo kanisani. Na huyo injinia wako unaweza kukuta ana mke au mchumba au mpenzi lakini amehiari kutoa laki yake ili tu afanye ngono! Huoni hapo ngoma ni droo au kila mtu kaliwa?
 
Back
Top Bottom