Hizi taasisi bila mjomba na mganga anayeeleweka hupati kazi

Hazina iondoe kwenye orodha, weka NSSF
 
Tasisi Bora hapo ni TRA, TISS na BOT hizo nyingine ni majina tu ila Nako njaa Kali tu , hazina ni jina tu ila hamna kitu , immigration Nako njaa tu , afadhari kidogo Hilo la wakimbizi namba 11
 
Bro wangu first born wetu alikataaga mchongo wa kuingia TISS, tulikuaga na uncle wetu TISS alimlengesha akachomoa mazima. Pindi nipo chuo nikawa naenda msalimia yule uncle pale makumbusho kwenye flat zao ndo akawa ananipa hizo story akidhani sikuskiaga. Bahati mbaya zama zilikua zimebadilika sikupata chance kuingia japo nilitamani..ila naonaga bora hata sikwendaga huko aisee
 
Vijana wengi wa huko wanatia huruma, ndio wakopaji maarufu kwetu sisi tunaofanya kazi ya ualimu.

Kwangu mimi namba moja ningeweka TCRA, TPDC, TANAPA labda na Ngorongoro hap wengine hawana tofouti na sie walimu
Ngorongoro nayo ni taasisi ya kazi za umma? au binafsi?

Ubinadamu ni kazi Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Vijana wengi wa huko wanatia huruma, ndio wakopaji maarufu kwetu sisi tunaofanya kazi ya ualimu.

Kwangu mimi namba moja ningeweka TCRA, TPDC, TANAPA labda na Ngorongoro hap wengine hawana tofouti na sie walimu
Kwa walio na safari wanapeta sana. Ninajamaa yangu TISS yupo kitengo flani cha wenye nchi yaani jamaa ulaya na marekani ni kama kichaka tu kila mara yupo huko. Sema kiukweli jamaa wanakuaga hawana maendeleo..akijenga nyumba moja au mbili kamaliza. Wengine hata hiyo nyumba moja hawamalizi kujenga
 
Vijana wengi wa huko wanatia huruma, ndio wakopaji maarufu kwetu sisi tunaofanya kazi ya ualimu.

Kwangu mimi namba moja ningeweka TCRA, TPDC, TANAPA labda na Ngorongoro hap wengine hawana tofouti na sie walimu
Tanapa saiz njaa kali
 
Tasisi Bora hapo ni TRA, TISS na BOT hizo nyingine ni majina tu ila Nako njaa Kali tu , hazina ni jina tu ila hamna kitu , immigration Nako njaa tu , afadhari kidogo Hilo la wakimbizi namba 11
unaijua TCRA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…