Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!