Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

Wanshinda mitandaoni kutukana badala ya kujifunza jinsi hata ya kuandika sentensi kutwa nzima wapo humu kutukana.
Na hela za bundle wanasaidiwa na marafiki zao waliojipata ambao hawajaanza kuwakataa 😄👍🏾
 
Hao ambao ni wazee wastaafu leo kwani si waliajiriwa wakiwa vijana?

Au wao hawakuwahi kuwa vijana wametoka utotoni kisha uzeeni na kuanza kulamba teuzi?
The Word, " RETIREMENT" has no meaning @ll in the vocabulary of Tanzania politics!!
 
Hii ndiyo mambo vijana wa Kenya jenzii waliamua kuingia mtaani kuipigania
sasa nchi yetu yenye vijana maiti, sijui nani atawapigania angalau wapate ata vijiteuzi maana kwenye ubunge wanapitishwa chawa cha mama
Acha waendelee kuzunguahiana ulaji, vijana wenyewe akina mwijaku kazi kugalagala kwenye matope, we unadhani kichwani kuna nini ?si matope anayobugia
 
Unaishi dunia gani wewe? Una elewa maana ya NO REFORMS NO ELECTION? au lugha ya ung'eng'e inakupa taabu?Watu kila siku wanapiga kelele Katiba ibadliishwe lakn mafisi wa CCM LUMUMBA HAWATAKI!!!
Hv hujui CCM ndo walivuruga mchakato wa BUNGE MAALUMU LA KATIBA for thy own interests??
Acha kujizima data chawa wewe!
Logical non sequitar fallacy.

Nimesema badilisheni katiba. Sijasema mlielie kuhusu kubadilisha katiba. Hiyo No Reforms No Election mpaka sasa ni kulialia tu. Kwa sababu hamna strategy ya kuitekeleza.

Unajua tofauti ya kulialia na kufanya mambo kwa strategy?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua kutumia mantiki badala ya hasira na hisia tu?

Unajua kujadili hoja badala kuita watu chawa kwa ad hominem logical fallacy tu?

Nakwambia hivi, ondoeni discretionary appointments kwa kubadili katiba.

Kabla ya hapo, kumlaumu rais kwa kufanya teuzi za kikatiba ni ujinga.

Jadili hoja, usilipuke kwa povu kwangu kama mimi ndiye niliwatungia katiba mbovu.

Mimi sijatunga katiba hiyo. Mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM.

Kwa nini unanilipukia mimi wakati mimi nakwambia ukweli tu?

Kwa sasa kumlaumu Samia kwa kufanya teuzi kikatiba ni ujinga tu.

Badilisheni katiba.
 
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK

Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?

Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.

Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?

Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!

Tafakari!

Tuvumilie bado kidogo tu atuachie Tanganyika yetu
 
Na hela za bundle wanasaidiwa na marafiki zao waliojipata ambao hawajaanza kuwakataa 😄👍🏾
Tofautisha kati ya KUKOSOA na KUTUKANA. Baba wa Taifa aliwai sema ukiwa kiongozi kubali KUKOSOA NA KUKOSOLEWA. Viongozi dhaifu ndio wasiotaka kukosolewa!!Shika hilo.
 
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK

Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?

Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.

Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?

Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!

Tafakari!

Ina maana wewe na wengine kadhaa unaowaona wanafaa, mbele ya hizo teuzi, hawana vigezo. Na kukusaidia usipate pressure, ukiona hivyo, unakaa na kutulia.

Ama ukafungue shamba au biashara yako, halafu ujiite Rais wa biashara. Unagawa vyeo jinsi unavyotaka.
 
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK

Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?

Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.

Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?

Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!

Tafakari!

Shida ni katiba yetu sio rais mkuu, katiba imempa rais mamlaka ya kuteua amtakaye na kumuondoabyeyote
 
Logical non sequitar fallacy.

Nimesema badilisheni katiba. Sijasema mlielie kuhusu kubadilisha katiba. Hiyo No Reforms No Election mpaka sasa ni kulialia tu. Kwa sababu hamna strategy ya kuitekeleza.

Unajua tofauti ya kulialia na kufanya mambo kwa strategy?

Unajua kusoma kwa ufahamu?

Unajua kutumia mantiki badala ya hasira na hisia tu?

Unajua kujadili hoja badala kuita watu chawa kwa ad hominem logical fallacy tu?

Nakwambia hivi, ondoeni discretionary appointments kwa kubadili katiba.

Kabla ya hapo, kumlaumu rais kwa kufanya teuzi za kikatiba ni ujinga.

Jadili hoja, usilipuke kwa povu kwangu kama mimi ndiye niliwatungia katiba mbovu.

Mimi sijatunga katiba hiyo. Mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM.

Kwa nini unanilipukia mimi wakati mimi nakwambia ukweli tu?

Kwa sasa kumlaumu Samia kwa kufanya teuzi kikatiba ni ujinga tu.

Badilisheni katiba.
Where ru my friend?

Aren't you a Tanzanian?

Do you wanna tell us this CCM Constitution doesn't affect you?

Sema Tubadilishe Katiba ntakuelewa!
 
Twende na facts tusiende na emotions. Si kila mtu anaye comment Kiswahili hapa ni Mtanzania. Kuna Wakenya wengi. Kuna watu wenye asili ya Tanzania ambao wamechukua uraia kwingine wengi. Mimi Nipo New York City, USA.

Badilisheni katiba.

Mimi niliuona ujinga huu nikaondoka Tanzania tangu enzi za Mkapa.

Huku nilipo nina matatizo mengine napambana nayo sitaki kupambana na matatizo ya Tanzania na matatizo ya huku.

Hususan kwa sababu hata Tanzania yenyewe hainitambui japo kiuraia tu.

Sasa nitajialikaje kusema "tubadilishe katiba" wakati katika macho ya Tanzania mimi si raia na siruhusiwi hata kupiga kura?

Badilisheni katiba, that is your struggle.

Mimi nina struggle ya Trump huku.

Kwenye uraia mmenikataza nisi double dip huku na huko.

Kwenye kubadili katiba nako naomba muendelee na msimamo huo huo.

Badilisheni katiba. That is your struggle.

Mkitaka iwe struggle yangu angalau ruhusuni uraia pacha nijue nina skin in the game.
 
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA WAZEE HAWAYAONI MAPORI? KWANN WAZEE WANANG'ANG'ANIA KWENYE AC???

Tafakari!!
Acha kuwa na mawazo mgando wewe, kwa wadhifa aliofikia Afande Sirro unadhani anaweza kung'ang'ania kuwa RC? muda mwingine uzoefu unawabeba, wewe una miaka 23 fresh graduate kutoka UDSM unata upendekezwe kuwa balozi Zimbabwe? unauzoefu una exposure yoyote? kwanini usijikite kwenye uwekezaji UKIHITAJIKA UTAITWA na sio kulaumu kwanini wazee wanateuliwa
 
Kimsingi, ukiwa na katiba inayomruhusu rais kuteua mtu yeyote, halafu rais akamteua mtu yeyote, hata asiyefaa, hapo tatizo si uteuzi wa rais, tatizo ni katiba iliyompa rais nafasi ya kufanya uteuzi huo.

Badala ya kulaumu teuzi za rais, unatakiwa kuweka mabadiliko ya katiba yatakayoweka mfumo bora zaidi ambao hautategemea teuzi za rais tu. Mfumo wa watu kuomba kazi kwa sifa zao na kuchaguliwa kwa kushinda udahili au RC kupigiwa kura na wananchi badala ya kuteuliwa na rais, au hata kama ni teuzi za rais, basi zipitie mfumo wa confirmation bungeni.

Sasa sisi tumempa rais madaraka ya kuteua na kutengua anavyotaka, kikatiba, halafu akiteua na kutengua anavyotaka, kikatiba, tunamlaumu yeye tena?
 
Twende na facts tusiende na emotions. Si kila mtu anaye comment Kiswahili hapa ni Mtanzania. Kuna Wakenya wengi. Kuna watu wenye asili ya Tanzania ambao wamechukua uraia kwingine wengi. Mimi Nipo New York City, USA.

Badilisheni katiba.

Mimi niliuona ujinga huu nikaondoka Tanzania tangu enzi za Mkapa.

Huku nilipo nina matatizo mengine napambana nayo sitaki kupambana na matatizo ya Tanzania na matatizo ya huku.

Hususan kwa sababu hata Tanzania yenyewe hainitambui japo kiuraia tu.

Sasa nitajialikaje kusema "tubadilishe katiba" wakati katika macho ya Tanzania mimi si raia na siruhusiwi hata kupiga kura?

Badilisheni katiba, that is your struggle.

Mimi nina struggle ya Trump huku.

Kwenye uraia mmenikataza nisi double dip huku na huko.

Kwenye kubadili katiba nako naomba muendelee na msimamo huo huo.

Badilisheni katiba. That is your struggle.

Mkitaka iwe struggle yangu angalau ruhusuni uraia pacha nijue nina skin in the game.
Now you're talking. Pole na challenges anazowapa Mzee wa MAGA wahamiaji kutoka nje ya USA. Hata hivo kwa sasa Uraia pacha unanukia Tanzania. Nimeona wana diaspora walioko USA wana support sana sera za CHADEMA za No Reforms No Election.
 
Ku support tunaweza ku support. Hilo halina tatizo.

Lakini, ujishatengwa kwenye suala la uraia kimkakati, there is a linit to what you can do.

Ukitaka kujii giza sana unaangushiwa jumba bovu la "adui wetu wa nje anatumiwa na mabeberu huyu".

Unaweza kuona utano lakini kuna mtu wa diaspora kashikwa Polisi siku ya 14 hii hajapelekwa hata mahakamani kama inavyotakiwa kikatiba. Imebidi mpaka ubalozi uingilie kati.

Mambo ya aibu sana.
 
Back
Top Bottom