Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
That is ad hominem logical fallacy.Wewe UWT subiri pombe, nyama na ngono mambo ya katiba kwako ni ngumu sn
Hujatoa hoja umetoa kiroja.
Bado hujaeleza kuvunja katiba ni nini.
That is ad hominem logical fallacy.Wewe UWT subiri pombe, nyama na ngono mambo ya katiba kwako ni ngumu sn
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Katiba inaruhusu kuteua wastaafu? katiba ina Naibu Waziri Mkuu?That is ad hominem logical fallacy.
Hujatoa hoja umetoa kiroja.
Bado hujaeleza kuvunja katiba ni nini.
Tunaongelea uteuzi hapa. Weka kifungu cha katiba kilichokataza kuteua wastaafu.Katiba inaruhusu kuteua wastaafu? katiba ina Naibu Waziri Mkuu?
Siyo kweli! Kama ni hivo basi hakuna haja ya kusomesha vijana wetu acha wakae majumbani tu.
Acha kuwa na mawazo mgando wewe, kwa wadhifa aliofikia Afande Sirro unadhani anaweza kung'ang'ania kuwa RC? muda mwingine uzoefu unawabeba, wewe una miaka 23 fresh graduate kutoka UDSM unata upendekezwe kuwa balozi Zimbabwe? unauzoefu una exposure yoyote? kwanini usijikite kwenye uwekezaji UKIHITAJIKA UTAITWA na sio kulaumu kwanini wazee wanateuliwa
Mambo yake tuiachie yenyewe!
Maswali mazuri...Hao ambao ni wazee wastaafu leo kwani si waliajiriwa wakiwa vijana?
Au wao hawakuwahi kuwa vijana wametoka utotoni kisha uzeeni na kuanza kulamba teuzi?
Kwani siro ni masikini Umefika butiama chanika?Vijana wanazingua, tamaa za utajiri wa haraka, tamaa za wanawake, tamaa za kutusua