Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Labda anaona kundi la vijana halijui kuandika vizuri na wala halitaki kujifunzaNimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Siyo kweli! Kama ni hivo basi hakuna haja ya kusomesha vijana wetu acha wakae majumbani tu.Vijana wanazingua, tamaa za utajiri wa haraka, tamaa za wanawake, tamaa za kutusua
Hii ndiyo mambo vijana wa Kenya jenzii waliamua kuingia mtaani kuipigania
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Tatizo Vijana wengi wa Kibongo ni mambumbumbu hata elimu wanayo pata huko vyuoni inawasaidia kuwa MACHAWA WA CCM tu.Hii ndiyo mambo vijana wa Kenya jenzii waliamua kuingia mtaani kuipigania
sasa nchi yetu yenye vijana maiti, sijui nani atawapigania angalau wapate ata vijiteuzi maana kwenye ubunge wanapitishwa chawa cha mama
Badilisheni katiba muondoe urais wa kifalme ambao rais anateua mpaka mfagizi wa choo.
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
NO REFORMS, NO ELECTION.

Hao ambao ni wazee wastaafu leo kwani si waliajiriwa wakiwa vijana?Vijana wanazingua, tamaa za utajiri wa haraka, tamaa za wanawake, tamaa za kutusua
Zimetumika Akili kubwa kutoka sirini
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Pia ukifa hakuna kustaafu unafanya kazi za kiroho kama mzimu. Unakaba watu na kuwatokea wanafamilia ndotoni ili walale kwa mangamu ngamu kwenye nyumba yako ulioiacha. Na kama umeacha mjane mbichi unawakaba wote wanaotaka kukurithi mkeo. Africa hakuna kustaafu!!Tanzania huwezi kustaafu, ukifa ndiyo kustaafu kwako hasa ukiwa na cheo kikubwa. Utateuliwa mpaka siku utakapotwaliwa na Bwana.
Kwa hiyo vijana waendelee kuwa machawa tu mpaka Wazee wastafu wote watangulie mbele ya Haki!!Tanzania huwezi kustaafu, ukifa ndiyo kustaafu kwako hasa ukiwa na cheo kikubwa. Utateuliwa mpaka siku utakapotwaliwa na Bwana.
Vox Populi, Vox Dei manake Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu!NO REFORMS, NO ELECTION.
HAKI huinua Taifa, HAKI ni Tunda la amani.
Wanshinda mitandaoni kutukana badala ya kujifunza jinsi hata ya kuandika sentensi kutwa nzima wapo humu kutukana.Labda anaona kundi la vijana halijui kuandika vizuri na wala halitaki kujifunza
Tupe ufafanuzi ndugu Lwiva dhidi ya huu mchango wako ulioambatana na picha ya kijivazi cha ndani ambacho hususani huvaliwa na mabinti wa kileoZimetumika Akili kubwa kutoka sirin8i
Ona zuzu huyu 😄Pia ukifa hakuna kustaafu unafanya kazi za kiroho kama mzimu. Unakaba watu na kuwatokea wanafamilia ndotoni ili walale kwa mangamu ngamu kwenye nyumba yako ulioiacha. Na kama umeacha mjane mbichi unawakaba wote wanaotaka kukurithi mkeo. Africa hakuna kustaafu!!
Alimtumbua kwenye uIGP na anahisi alimwonea kwa sababu Siro ni mchapakazi na mwadilifu. Kwa sasa anajaribu kusawazisha mambo.
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Unaishi dunia gani wewe? Una elewa maana ya NO REFORMS NO ELECTION? au lugha ya ung'eng'e inakupa taabu?Watu kila siku wanapiga kelele Katiba ibadliishwe lakn mafisi wa CCM LUMUMBA HAWATAKI!!!Badilisheni katiba muondoe urais wa kifalme ambao rais anateua mpaka mfagizi wa choo.
Kabla ya hapo, kumlaumu rais anayeteua kwa kutumia katiba, ni ujinga.