Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Na hela za bundle wanasaidiwa na marafiki zao waliojipata ambao hawajaanza kuwakataa ๐๐๐พWanshinda mitandaoni kutukana badala ya kujifunza jinsi hata ya kuandika sentensi kutwa nzima wapo humu kutukana.
The Word, " RETIREMENT" has no meaning @ll in the vocabulary of Tanzania politics!!Hao ambao ni wazee wastaafu leo kwani si waliajiriwa wakiwa vijana?
Au wao hawakuwahi kuwa vijana wametoka utotoni kisha uzeeni na kuanza kulamba teuzi?
Acha waendelee kuzunguahiana ulaji, vijana wenyewe akina mwijaku kazi kugalagala kwenye matope, we unadhani kichwani kuna nini ?si matope anayobugiaHii ndiyo mambo vijana wa Kenya jenzii waliamua kuingia mtaani kuipigania
sasa nchi yetu yenye vijana maiti, sijui nani atawapigania angalau wapate ata vijiteuzi maana kwenye ubunge wanapitishwa chawa cha mama
Mapoli yeyenyewe tunaona kila siku serikali inagombania na wananchiVIJANA MAPORI YAKO MENGI NENDENI MKALIME, TATIZO WOTE MNATAKA NAFASI ZAKUKAA KWENYE AC
Logical non sequitar fallacy.Unaishi dunia gani wewe? Una elewa maana ya NO REFORMS NO ELECTION? au lugha ya ung'eng'e inakupa taabu?Watu kila siku wanapiga kelele Katiba ibadliishwe lakn mafisi wa CCM LUMUMBA HAWATAKI!!!
Hv hujui CCM ndo walivuruga mchakato wa BUNGE MAALUMU LA KATIBA for thy own interests??
Acha kujizima data chawa wewe!
Tuvumilie bado kidogo tu atuachie Tanganyika yetu
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Tofautisha kati ya KUKOSOA na KUTUKANA. Baba wa Taifa aliwai sema ukiwa kiongozi kubali KUKOSOA NA KUKOSOLEWA. Viongozi dhaifu ndio wasiotaka kukosolewa!!Shika hilo.Na hela za bundle wanasaidiwa na marafiki zao waliojipata ambao hawajaanza kuwakataa ๐๐๐พ
Umewahi kwenda halmashauri yoyote kitengo cha ardhi au kilimo kuuliza, kwa nchi yetu ilipofikia ni kupambana sana kwaajili ya watoto wetu na sio kungoja ajira za utumishi au teuziMapoli yeyenyewe tunaona kila siku serikali inagombania na wananchi
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Shida ni katiba yetu sio rais mkuu, katiba imempa rais mamlaka ya kuteua amtakaye na kumuondoabyeyote
View: https://youtu.be/Bp5NaZ4sYY8?si=SO4lrmpVo9Qm7bQK
Nimeshangazwa sana kwenye teuzi za Rais Samia uliotokea juzi. Rais anatumia vigezo gani kuteua mtu aliyestahafu tena ambaye amepitia nyadhifa kubwa kubwa na zenye heshima?
Hii nchi ina raia milioni 60+ na kati ya hawa zaidi ya 40% ni VIJANA. Vijana wengi hawana ajira lakini unakuta mtu mmoja ndiye anaamua kupendelea kundi fulani la wazee wastahafu kana kwamba nchi haina Vijana.
Tujiulize, what is the meaning of RETIREMENT in Tanzania? Why recruit, employ or appoint an old man already retired?
Simon Nyankoro Siro alikuwa Polisi, akawa IGP. Baada ya kustahafu akateuliwa kuwa Balozi nchini Zimbabwe. Baada ya kumaliza muda wa Ubalozi karudi nyumbani. Juzi kateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa tena. Why???!!!
Tafakari!
Where ru my friend?Logical non sequitar fallacy.
Nimesema badilisheni katiba. Sijasema mlielie kuhusu kubadilisha katiba. Hiyo No Reforms No Election mpaka sasa ni kulialia tu. Kwa sababu hamna strategy ya kuitekeleza.
Unajua tofauti ya kulialia na kufanya mambo kwa strategy?
Unajua kusoma kwa ufahamu?
Unajua kutumia mantiki badala ya hasira na hisia tu?
Unajua kujadili hoja badala kuita watu chawa kwa ad hominem logical fallacy tu?
Nakwambia hivi, ondoeni discretionary appointments kwa kubadili katiba.
Kabla ya hapo, kumlaumu rais kwa kufanya teuzi za kikatiba ni ujinga.
Jadili hoja, usilipuke kwa povu kwangu kama mimi ndiye niliwatungia katiba mbovu.
Mimi sijatunga katiba hiyo. Mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM.
Kwa nini unanilipukia mimi wakati mimi nakwambia ukweli tu?
Kwa sasa kumlaumu Samia kwa kufanya teuzi kikatiba ni ujinga tu.
Badilisheni katiba.
KWA HIYO UNATAKA KUSEMA WAZEE HAWAYAONI MAPORI? KWANN WAZEE WANANG'ANG'ANIA KWENYE AC???VIJANA MAPORI YAKO MENGI NENDENI MKALIME, TATIZO WOTE MNATAKA NAFASI ZAKUKAA KWENYE AC
Where ru my friend?
Aren't you a Tanzanian?
Do you wanna tell us this CCM Constitution doesn't affect you?
Sema Tubadilishe Katiba ntakuelewa!
Acha kuwa na mawazo mgando wewe, kwa wadhifa aliofikia Afande Sirro unadhani anaweza kung'ang'ania kuwa RC? muda mwingine uzoefu unawabeba, wewe una miaka 23 fresh graduate kutoka UDSM unata upendekezwe kuwa balozi Zimbabwe? unauzoefu una exposure yoyote? kwanini usijikite kwenye uwekezaji UKIHITAJIKA UTAITWA na sio kulaumu kwanini wazee wanateuliwaKWA HIYO UNATAKA KUSEMA WAZEE HAWAYAONI MAPORI? KWANN WAZEE WANANG'ANG'ANIA KWENYE AC???
Tafakari!!
Kimsingi, ukiwa na katiba inayomruhusu rais kuteua mtu yeyote, halafu rais akamteua mtu yeyote, hata asiyefaa, hapo tatizo si uteuzi wa rais, tatizo ni katiba iliyompa rais nafasi ya kufanya uteuzi huo.Acha kuwa na mawazo mgando wewe, kwa wadhifa aliofikia Afande Sirro unadhani anaweza kung'ang'ania kuwa RC? muda mwingine uzoefu unawabeba, wewe una miaka 23 fresh graduate kutoka UDSM unata upendekezwe kuwa balozi Zimbabwe? unauzoefu una exposure yoyote? kwanini usijikite kwenye uwekezaji UKIHITAJIKA UTAITWA na sio kulaumu kwanini wazee wanateuliwa
Now you're talking. Pole na challenges anazowapa Mzee wa MAGA wahamiaji kutoka nje ya USA. Hata hivo kwa sasa Uraia pacha unanukia Tanzania. Nimeona wana diaspora walioko USA wana support sana sera za CHADEMA za No Reforms No Election.Twende na facts tusiende na emotions. Si kila mtu anaye comment Kiswahili hapa ni Mtanzania. Kuna Wakenya wengi. Kuna watu wenye asili ya Tanzania ambao wamechukua uraia kwingine wengi. Mimi Nipo New York City, USA.
Badilisheni katiba.
Mimi niliuona ujinga huu nikaondoka Tanzania tangu enzi za Mkapa.
Huku nilipo nina matatizo mengine napambana nayo sitaki kupambana na matatizo ya Tanzania na matatizo ya huku.
Hususan kwa sababu hata Tanzania yenyewe hainitambui japo kiuraia tu.
Sasa nitajialikaje kusema "tubadilishe katiba" wakati katika macho ya Tanzania mimi si raia na siruhusiwi hata kupiga kura?
Badilisheni katiba, that is your struggle.
Mimi nina struggle ya Trump huku.
Kwenye uraia mmenikataza nisi double dip huku na huko.
Kwenye kubadili katiba nako naomba muendelee na msimamo huo huo.
Badilisheni katiba. That is your struggle.
Mkitaka iwe struggle yangu angalau ruhusuni uraia pacha nijue nina skin in the game.
Ku support tunaweza ku support. Hilo halina tatizo.Now you're talking. Pole na challenges anazowapa Mzee wa MAGA wahamiaji kutoka nje ya USA. Hata hivo kwa sasa Uraia pacha unanukia Tanzania. Nimeona wana diaspora walioko USA wana support sana sera za CHADEMA za No Reforms No Election.