Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa


She appoints those who who will smoothen her ways for self interests.

Our constitution doesn't limit her as a president on who to appoint, it's just her interests and wishes.

In a nutshell, we need very serious constitutional reforms otherwise anyone getting in power will run the nation as he/she feels and wishes.
 
Badilisheni katiba muondoe urais wa kifalme ambao rais anateua mpaka mfagizi wa choo.

Kabla ya hapo, kumlaumu rais anayeteua kwa kutumia katiba, ni ujinga.
Hakuna kutumia common sense? Hata kama anafuata katiba? Kwamba katiba imeondoa hadi fikra na maarifa kidogo tu ya kuzaliwa au kusomea.
 
Hakuna kutumia common sense? Hata kama anafuata katiba? Kwamba katiba imeondoa hadi fikra na maarifa kidogo tu ya kuzaliwa au kusomea.
Mkuu,

Nchi haiongozwi kwa kutumia common sense, kwa sababu common sense yenyewe kui define tutakesha. Common sense kwako si sawa na kwangu.

Kwenye kutojikojolea hadharani atatumia common sense. Kwenye jambo la maslahi makubwa ya umma kama teuzi kuna katiba na sheria.

Ndiyo maana watu wenye akili wakaweka katiba na sheria. Zikaandikwa bayana. Na hata baada ya kuandikwa mara nyingi tunaenda mahakama kupata tafsiri sahihi.

Unaona utata uliopo hapo na kwa nini ni muhimu mambo yarasimishwe kikatiba bila kuacha watu watufanyie hisani kwa. Common sense?

Ukitaka nchi iendeshwe kwa common sense tu halafu ukapata rais mshenzi haheshimu common sense yako utafanyaje?
 
Hakuna kutumia common sense? Hata kama anafuata katiba? Kwamba katiba imeondoa hadi fikra na maarifa kidogo tu ya kuzaliwa au kusomea.
Ukweli kinachotakiwa ni kutumia SHERIA na KATIBA ndo solution. Hii nji kuna lugha za kipuuzi sana km sijui busara, utashi n' all that ni upuuzi mtupu!

Ndo maana mwendazake JPM alipoingia Ikulu akaifanya Tanzania kuwa ni mali yake! Tukaanza kusikia Tanzania ya Magufuli, Serkali ya Magufuli, CCM ya Magufuli na upuuzi mwingine mwingi!

NO REFORMS NO ELECTION ndo mpango mzima.
 
Katiba wakibadili watajipendelea haswa
 
Kwani katiba inafuatwa?
 
Mfumo wa elimu umeoza haswa
 
Hapo ndiyo utajua kuwa kuna vyeo vingine havina umuhimu. Sasa kama tayari ni mstaafu/mzee ataleta impact gani kwenye hicho cheo. Kumbe ni bora mkoa ukae bila mkuu wa mkoa kwani hana umuhimu.
 
Hii ndiyo mambo vijana wa Kenya jenzii waliamua kuingia mtaani kuipigania
sasa nchi yetu yenye vijana maiti, sijui nani atawapigania angalau wapate ata vijiteuzi maana kwenye ubunge wanapitishwa chawa cha mama
We mbwa koko hao wapumbavu wa Kenya siyo wa kutolea mfano. Ruto ameteua vijana ktk nafasi gani mbn ni vizee vilevile vya miaka nenda rudi. Vijana wako wengi ktk nafasi za URC, Kenaan Kijongosi, Kheri James siyo vijana? Nyie mbaki kulalamika humu JF mkisubiri kuna sk mtateuliwa.
 
Labda anaona kundi la vijana halijui kuandika vizuri na wala halitaki kujifunza
Kheri James, Keenan Kihongosi siyo vijana? Baraza la mawaziri limejaa vijana kuliko wakati mwingine wowote ule. Nyie bakini kulalamika humu. Wizara ya Kilimo wote vijana, wizara ya TEHAMA vijana, n.k
 
Heri Mbwa Koko, kuliko wewe Chawa Mchafu wa Mama
 
Anaogopa asije kushawishi watumishi walio kazini kuhujumu mbio zake za kukimbilia kwenye boksi jeupe
 
Ndio maana umeambiwa na mzee BUTIKU kwamba kijana acha UOGA nchi hii inawahitaji vijana jasiri,na sio waoga UOGA UNAUA ,Ukiendelea na UOGA Kijana AJIRA UTAZISUBIRIA SANA,Ww fuatikia hiyo class ya viongozi kama utawakuta watoto wao hawana ajira.WAZEE WANARUDISHWA KWENYE AJIRA NA SIO KUAJIRI VIJANA, TANZANIA bwana haaaaaaaaa kazi kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…