Hizi teuzi za Rais Samia zinabagua na zina kasoro kubwa

Wazee wanalipwa fadhila wafe vizuri.
 
Katiba inaruhusu kuteua wastaafu? katiba ina Naibu Waziri Mkuu?
Tunaongelea uteuzi hapa. Weka kifungu cha katiba kilichokataza kuteua wastaafu.

Kuhusu Naibu Waziri Mkuu.Hiyo katiba umeisoma?

Unaelewa kuwa katiba inampa rais uqezo wa kuunda ofisi yoyote anayotaka serikalini?

Unalialia kwa muhemko tu au umeisoma katiba?

Unaweza kuiongelea katiba kwa kutumia vifungu badala ya kubwabwaja tu?

Kifungu gani cha katiba kinamkataza rais kuteua mstaafu?
 

HAO JAMAA ni takataka, wakishatoka vyuo huwa wanajihisi wao ndio wana deserves everything
 
Hizo siyo teuzi ni shukrani kwa kunifanyia kazi zangu na pia ujumbe wa future kwa walioko kwenye utumishi.
 
Hii nchi inafurahisha sana, VIjana wana wivu kwa wazee, ni hatari sana
 
Vijana wanazingua, tamaa za utajiri wa haraka, tamaa za wanawake, tamaa za kutusua
Kwani siro ni masikini Umefika butiama chanika?

Kwani Samia ni masikini?

Umefika kizimkazi, Dubai au Oman

Wazee ndio tatizo nchi hii

Wezi na mafisadi wote ni wazee kuanzia miaka 50 kwenda juu.

Wakina makonda na magenge mengine wanaotwa vijana sio vijana ni wazee kabisa makona ana 50 years

Hakina kijana mwizi nchi hii sema wazee mnatengeneza machawa na kuwapa pesa zenu za ufisadi halafu mnaanza kuwalaumu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…