Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,729
- 10,500
Ndugu Mohamed,huyu matola asingetumia jina lenye kejeli kama 'kigugumizi' ungemjibu swali lake?Matola,
Mimi si mtu wa lugha za kejeli mfano wa ''kigugumizi,'' nk. nk.
Si mtu wa hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu Mohamed,huyu matola asingetumia jina lenye kejeli kama 'kigugumizi' ungemjibu swali lake?Matola,
Mimi si mtu wa lugha za kejeli mfano wa ''kigugumizi,'' nk. nk.
Si mtu wa hivyo.
Edward...Wewe Mzee una Udini sana tena sana!
Hayo ni majina ya Kiarabu na sio majina ya Kiislamu.
Sio kila mwenye jina la kiislamu basi lazima awe Muislamu.
Mzingo,Ndugu Mohamed,huyu matola asingetumia kina lenye kejeli kama 'kigugumizi' ungemjibu swali lake?
Tajiri...Hivi waislaam hawa ndio walishiriki kwenye biashara ya utumwa eh?
Jiwe...Mzee kilizi aliyefungwa kwa tabia zake za hovyo amejaa udini na chuki zidi ya wakristo wakati elimu na ufahamu kapewa na shule za kanisa wakupuuzwa hafai hata kusikilizwa.
Anataka kupotosha historia ya nchi na kuondoa umoja wa watanzania kutoka na illusion zake.
Mpotoshaji na mzushi.
#MaendeleoHayanaChama
Historia yako imedhibitishwa na taasisi gani?Mzingo,
Nimemweleza kuwa mimi nasomesha historia ambayo haikuwa inafahamika sipendi kufanya ubishi.
Vito...Historia yako imedhibitishwa na taasisi gani?
Akikujibu nitag mzee babaHoja ndani ya hoja, jina lako ni la kiislamu au la Kiarabu?
Amekuliza swali jepesi tu,jina lako ni la kiswahili au kiaarabuMatola,
Mimi huwa sipendi kubishana.
Napenda kusomesha yale ambayo watu hawakuwa wanayajua.
Mrangi,Amekuliza swali jepesi tu,jina lako ni la kiswahili au kiaarabu
Mjibu tu mzee wangu
Ova
Mtwa Adam Sapi Mkwawa alikuwa Muislamu
Sidhani kwamba huu ni ushahidi wa kutosha kuthibitisha kwamba Mkwawa alikuwa Mwislamu.Uislamu uliingia ktk ardhi yetu kabla ya Ukristo
JK,Mohamed Said,
..mimi niko interested ktk hiyo document iliyoandikwa kwa herufi za Kiarabu.
..nadhani wasomaji wako wengi wangefurahi kama ingepatikana tafsiri ya document hiyo.
..suala la Mkwawa kuwa Muislamu sidhani kama linahitaji kubishaniwa.
..Mjukuu wa Mkwawa, former Speaker of the parliament, Mtwa Adam Sapi Mkwawa alikuwa Muislamu.
..Nadhani wasomaji wengi wangejua kwamba Uislamu uliingia ktk ardhi yetu kabla ya Ukristo kusingekuwa na ubishani mkali unaoendelea.
Sidhani kwamba huu ni ushahidi wa kutosha kuthibitisha kwamba Mkwawa alikuwa Mwislamu.
Alisilimu vipi wakati Mkwawa hakuwa mkristo?..Kama Mtwa Mkwawa alikuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu hudhani kwamba kuna uwezekano mkubwa alifundishwa dini ya Kiislamu?
..Unaweza ukadai kwamba, kwa nafasi yake ya Mtwa wa Wahehe, huenda Mkwawa alikuwa akiendeleza mambo ya KIMILA, lakini sidhani kama suala hilo lina-disprove the fact kuwa alisilimu.
ungeanzisha hii mada nyumbani kwako uwe mwenyekiti wa kikao, wewe unataka kujibiwa yako ya wenzio unaruka ruka tu.. umeulizwa swali rahisi mtu anataka kufahamu MOHAMED SAID ni jina la Kiislam au Kiarabu... kama hujui sema hujui na wewe ufahamishwe ila sio kukimbia swali kwa kujifanya et umedharauliwa... dharau ipo wapi hapo? eti sio mtu wa hivyo, una mapembe??? Status zako kama zinakuingizia kipato post whatsapp.! usituletee hapa.Matola,
Mimi si mtu wa lugha za kejeli mfano wa ''kigugumizi,'' nk. nk.
Si mtu wa hivyo.
Alisilimu vipi wakati Mkwawa hakuwa mkristo?