Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
- #61
Matola,Kwahili Mzee wangu hapa umepotoka, mimi kijijini kwetu kwa wazee wangu kuna makaburi kama haya na hawaujui uislamu hata chembe.
Makaburi mengi ni ya hivi makaburi yenye misalaba ni ya miaka baada ya uhuru watu walipoanza kupokea dini ya wamisionari.
Kama haya makaburi ndio ushahidi wa Mkwawa alikuwa dini gani basi nenda Musoma utasema wote ni waislamu utayakuta makaburi kama haya na ukifanya utafiti utagunduwa hata baba yake Nyerere au babu yake kaburi lake ni kama hilo la Mkwawa.
Walioniekeza kuwa Mkwawa alikuwa Muislam ni watu wa Mkwawa Museum hao ndiyo chanzo cha historia hii.
Kilichofuata wamenionyesha picha ya kaburi lake ambalo ni la Kiislam.
Mimi maishani mwangu sijapata kukutana na Pagani wala kuona makaburi yao.