Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #61
Matola,Kwahili Mzee wangu hapa umepotoka, mimi kijijini kwetu kwa wazee wangu kuna makaburi kama haya na hawaujui uislamu hata chembe.
Makaburi mengi ni ya hivi makaburi yenye misalaba ni ya miaka baada ya uhuru watu walipoanza kupokea dini ya wamisionari.
Kama haya makaburi ndio ushahidi wa Mkwawa alikuwa dini gani basi nenda Musoma utasema wote ni waislamu utayakuta makaburi kama haya na ukifanya utafiti utagunduwa hata baba yake Nyerere au babu yake kaburi lake ni kama hilo la Mkwawa.
hapana, sijaghadhabika... ila nimeshindwa kukuelewa... umeleta mada, mtu anakuuliza vizuri kabisa na kwa ukarimu unashindwa kumjibu unaanza kumtishia... hili ni jukwaa la hoja huru ndo maana tunatumia fake ID's.. hata Mzee Magufuli(RIP) alikuwemo humu na watu wakawa wanajibishana naye kwa hoja, na hakuna siku ametishia mtu.Invisible...
Umeghadhibika.
Lugha yako imekuwa kama pana ugomvi baina yetu ilhali ni mjadala.
Huwa mtu akifika hali hii mimi humwepuka.
Invisible...hapana, sijaghadhabika... ila nimeshindwa kukuelewa... umeleta mada, mtu anakuuliza vizuri kabisa na kwa ukarimu unashindwa kumjibu unaanza kumtishia... hili ni jukwaa la hoja huru ndo maana tunatumia fake ID's.. hata Mzee Magufuri(RIP) alikuwemo humu na watu wakawa wanajibishana naye kwa hoja, na hakuna siku ametishia mtu.
Umeshawahi kuona au kusikia kuhusu msikiti aliokuwa anaswali mkwawa?
Ni upi au ulikua wapi?
tuendelee na mada ya msingi..!Invisible...
Hebu nionyeshe sehemu niliyomtisha mtu.
Sijapata kutumia fake ID.
Invisible...tuendelee na mada ya msingi..!
Sikumbuki nilisoma wapi ila inasemekana hapo awali Kiswahili kiliandikwa kwa herufi za Kiarab. Kama hili ni kweli huoni kama sio sahihi kuhusianisha hiyo barua na dini ya Mkwawa?..Kama Mtwa Mkwawa alikuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu hudhani kwamba kuna uwezekano mkubwa alifundishwa dini ya Kiislamu?
..Unaweza ukadai kwamba, kwa nafasi yake ya Mtwa wa Wahehe, huenda Mkwawa alikuwa akiendeleza mambo ya KIMILA, lakini sidhani kama suala hilo lina-disprove the fact kuwa alisilimu.
Hata Mbeya mjini pia makaburi ya wasafwa yamejengwa kwa namna hiyo.Kwahili Mzee wangu hapa umepotoka, mimi kijijini kwetu kwa wazee wangu kuna makaburi kama haya na hawaujui uislamu hata chembe.
Makaburi mengi ni ya hivi makaburi yenye misalaba ni ya miaka baada ya uhuru watu walipoanza kupokea dini ya wamisionari.
Kama haya makaburi ndio ushahidi wa Mkwawa alikuwa dini gani basi nenda Musoma utasema wote ni waislamu utayakuta makaburi kama haya na ukifanya utafiti utagunduwa hata baba yake Nyerere au babu yake kaburi lake ni kama hilo la Mkwawa.
Leche...Sikumbuki nilisoma wapi ila inasemekana hapo awali Kiswahili kiliandikwa kwa herufi za Kiarab. Kama hili ni kweli huoni kama sio sahihi kuhusianisha hiyo barua na dini ya Mkwawa?
Nimesoma na mtu kutoka kwenye huo ukoo, nitafuatilia kuhusu hili.
Leche...Hata Mbeya mjini pia makaburi ya wasafwa yamejengwa kwa namna hiyo.
Leche...Hata Mbeya mjini pia makaburi ya wasafwa yamejengwa kwa namna hiyo.
Umemaanisha nini kusema "mkristo hazikwi" hapo mwishoni mzee wangu?Leche...
Ni kweli Kiswahili kikiandikwa kwa hati za Kiarabu
Mimi nimekuta babu zetu wakiandika hivyo.
Hati za Kiarabu zilikuja kupigwa marufuku (abrogation) na Waingereza.
Leche...
Makaburi hayo wamezikwa waumini wa dini gani?
Utaniwia radhi kwa ujinga wangu.
Mimi nimekulia mjini Dar es Salaam na makaburi ninayoyajua ni ya Waislam na ya Wakristo.
Makaburi haya yanafahamika na kila mtu.
Mkristo hazikwi ila kaburi litakuwa na msalaba.
Leche...Sikumbuki nilisoma wapi ila inasemekana hapo awali Kiswahili kiliandikwa kwa herufi za Kiarab. Kama hili ni kweli huoni kama sio sahihi kuhusianisha hiyo barua na dini ya Mkwawa?
Nimesoma na mtu kutoka kwenye huo ukoo, nitafuatilia kuhusu hili.
Mashi...Umemaanisha nini kusema "mkristo hazikwi" hapo mwishoni mzee wangu?
Kwa hiyo mtu akijua kuandika kiarabu automatic ni muislamu..Kama Mtwa Mkwawa alikuwa akiandika kwa herufi za Kiarabu hudhani kwamba kuna uwezekano mkubwa alifundishwa dini ya Kiislamu?
..Unaweza ukadai kwamba, kwa nafasi yake ya Mtwa wa Wahehe, huenda Mkwawa alikuwa akiendeleza mambo ya KIMILA, lakini sidhani kama suala hilo lina-disprove the fact kuwa alisilimu.
Sikumbuki nilisoma wapi ila inasemekana hapo awali Kiswahili kiliandikwa kwa herufi za Kiarab. Kama hili ni kweli huoni kama sio sahihi kuhusianisha hiyo barua na dini ya Mkwawa?
Nimesoma na mtu kutoka kwenye huo ukoo, nitafuatilia kuhusu hili.
Kwa hiyo mtu akijua kuandika kiarabu automatic ni muislamu
Wahehe almost 90 ni wakristo point ya mkwawa kuwa muislamu Ina walakini..anaandika kiarabu.
..halafu watithi wake ni Waislamu.
..inawezekana Uislamu ktk ukoo wao ulianzia kwake.
..Naweza kukubaliana na hilo.Wahehe almost 90 ni wakristo point ya mkwawa kuwa muislamu Ina walakini
Abdallah ni jina kiisilamu lililoandikwa Kiarabu.Hata hili ni somo pia, ningependa kufahamu Mohamed Said ni jina la Kiislam au la Kiarabu?
Je Abdallah ni jina la Kiislam au la kiarabu? Kigugumizi kiko wapi?