Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu,

Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza maneno ili kumfurahisha mtu au watu. Hapendi kudanganya Wala kuwadanganya watanzania. Anasema ukweli na Ni msema kweli muda wote.

Anaeleza kila kinachokuwa kinaendelea serikalini kwake. Anahitaji kuona watanzania Tunajuwa na kufahamu kila kitu kinachotokea na Kuendelea katika serikali yetu. Anasema na kuzungumza kilicho katika kifua chake na kilicho Cha kweli. Roho yake na maneno yake huambatana kwa pamoja na kwa kuwa Ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na mcha Mungu unaona maneno yake na kauli zake zikiwa zenye uhalisia. Hii ndio sababu ya kuona akiungwa mkono na mamillion ya watanzania kwa kuwa serikali yake Inaendeshwa kwenye mwanga na siyo gizani. Ndio sababu anatetewa na wengi kwa kuwa wengi wanakuwa wanaufahamu ukweli wa mambo unaotokana na kuambiwa na kuelezwa ukweli.

Kila hatua au mchakato au maamuzi au juhudi zozote zinazokuwa zinafanywa na serikali yake lazima awaeleze watanzania, iwe Ni miradi, mikopo,Tozo, Kodi, Hali ya uchumi au vyovyote vile unaona akitoka hadharani na kuwaeleza watanzania. Ni viongozi wachache Sana Barani Afrika na hata Duniani kwote wenye uwezo wa kuendesha serikali kwa uwazi na ukweli Kama afanyavyo Rais Samia na serikali Yake.

Anafanya hivyo kwa kuwa kila afanyacho ni kwa dhamira njema kwa nchi yetu. Ni kwa kuwa Rais Samia ni mzalendo wa kweli. Ni kwa kuwa ana mapenzi ya dhati na upendo wa kweli na Taifa hili, anafanya hivyo kwa kuwa Amedhamilia kuwatumikia watanzania kwa kuiweka serikali mikononi mwa watanzania ambao ndio walio ichagua. Ndio maana anawambia ukweli pasipo kuwadanganya au kuwarubuni. Anausema ukweli hata Kama Ni mchungu.

Rais Samia Ni Mfano Wa kuigwa Barani Afrika. Ni Nyota Ya Matumaini kwa waliokata Tamaa. Ni nuru iwakayo gizani. Ni Taa imulikayo mioyo iliyokata Tamaa na kuona Giza mbele. Ni mfariji wa Taifa Kama mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali yetu. Ni Tumaini na Faraja ya wanyonge wasio na sauti. Ni nguvu kwa wanyonge Na Askari mpambanaji asiye choka Wala kukata Tamaaa katika vita ya kulipigania na kuliletea Maendeleo Taifa letu. Rais Samia Anastahili pongezi, kutiwa moyo, Faraja, kuungwa mkono, kusaidiwa vyema na wasaidizi wake, kuombewa na watanzania afya njema na nguvu za kututumikia watanzania pamoja na macho ya Rohoni ya kuona na kung'amua yasiyo weza kuonekana kwa macho ya nyama.

Mwenyezi Mungu ambariki Rais Samia na kumlimda wakati wote. Amtetee na kumpigania katika Hatua zote apigazo na kusonga mbele katika kuzielekea ndoto za kuona Taifa hili linainuka kiuchumi na kumgusa kila mtanzania afanyaye kazi na juhudi za kujikwamua kiuchumi. Ampe maarifa Zaid na zaidi ya kuongoza Taifa letu, amzidishie hekima na busara katika kufanya maamuzi juu ya Taifa letu. Ampe watu wema na waungwana na wenye Dhamira ya Dhati na kweli na ya kizalendo katika kulitumikia Taifa letu pindi wamshauripo na kutoa mawazo yao, Amuondolee watu wabaya karibu yake ili wakae mbali Naye. Ampe ujasiri wa kufanya maamuzi magumu pale inapohitajika kwa maslahi ya Taifa letu. Ampe na kumzidishia moyo wa ujasiri katika kufanya maamuzi kwa manufaa ya Taifa letu, Mwenyezi MUNGU asiondoe mkono wake mahali alipo Rais wetu, popote awapo Rais wetu Basi uwepo wa Mwenyezi MUNGU Ukawepo mahali Hapo na kusimama Naye.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
 
Ndugu zangu,Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana,Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana,Nikiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU,Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu,Nikiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza maneno ili kumfurahisha mtu au watu. Hapendi kudanganya Wala kuwadanganya watanzania.Anasema ukweli na Ni msema kweli muda wote.

Anaeleza kila kinachokuwa kinaendelea serikalini kwake,Anahitaji kuona watanzania Tunajuwa na kufahamu kila kitu kinachotokea na Kuendelea katika serikali yetu,Anasema na kuzungumza kilicho katika kifua chake na kilicho Cha kweli,Roho yake na maneno yake huambatana kwa pamoja,na kwa kuwa Ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na mcha Mungu unaona maneno yake na kauli zake zikiwa zenye uhalisia.Hii ndio sababu ya kuona akiungwa mkono na mamillion ya watanzania kwa kuwa serikali yake Inaendeshwa kwenye mwanga na siyo gizani,Ndio sababu anatetewa na wengi kwa kuwa wengi wanakuwa wanaufahamu ukweli wa mambo unaotokana na kuambiwa na kuelezwa ukweli.

Kila hatua au mchakato au maamuzi au juhudi zozote zinazokuwa zinafanywa na serikali yake lazima awaeleze watanzania,iwe Ni miradi,mikopo,Tozo,,Kodi,Hali ya uchumi au vyovyote vile unaona akitoka hadharani na kuwaeleza watanzania,Ni viongozi wachache Sana Barani Afrika na hata Duniani kwote wenye uwezo wa kuendesha serikali kwa uwazi na ukweli Kama afanyavyo Rais Samia na serikali Yake.

Anafanya hivyo kwa kuwa kila afanyacho ni kwa dhamira njema kwa nchi yetu,Ni kwa kuwa Rais Samia ni mzalendo wa kweli,Ni kwa kuwa ana mapenzi ya dhati na upendo wa kweli na Taifa hili,anafanya hivyo kwa kuwa Amedhamilia kuwatumikia watanzania kwa kuiweka serikali mikononi mwa watanzania ambao ndio walio ichagua,Ndio maana anawambia ukweli pasipo kuwadanganya au kuwarubuni,Anausema ukweli hata Kama Ni mchungu.

Rais Samia Ni Mfano Wa kuigwa Barani Afrika,Ni Nyota Ya Matumaini kwa waliokata Tamaa,Ni nuru iwakayo gizani,Ni Taa imulikayo mioyo iliyokata Tamaa na kuona Giza mbele,Ni mfariji wa Taifa Kama mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali yetu,Ni Tumaini na Faraja ya wanyonge wasio na sauti,Ni nguvu kwa wanyonge Na Askari mpambanaji asiye choka Wala kukata Tamaaa katika vita ya kulipigania na kuliletea Maendeleo Taifa letu .Rais Samia Anastahili pongezi,kutiwa moyo,Faraja,kuungwa mkono,kusaidiwa vyema na wasaidizi wake,kuombewa na watanzania afya njema na nguvu za kututumikia watanzania pamoja na macho ya Rohoni ya kuona na kung'amua yasiyo weza kuonekana kwa macho ya nyama.

Mwenyezi Mungu ambariki Rais Samia na kumlimda wakati wote,Amtetee na kumpigania katika Hatua zote apigazo na kusonga mbele katika kuzielekea ndoto za kuona Taifa hili linainuka kiuchumi na kumgusa kila mtanzania afanyaye kazi na juhudi za kujikwamua kiuchumi,Ampe maarifa Zaid na zaidi ya kuongoza Taifa letu,amzidishie hekima na busara katika kufanya maamuzi juu ya Taifa letu,Ampe watu wema na waungwana na wenye Dhamira ya Dhati na kweli na ya kizalendo katika kulitumikia Taifa letu pindi wamshauripo na kutoa mawazo yao,Amuondolee watu wabaya karibu yake ili wakae mbali Naye,Ampe ujasiri wa kufanya maamuzi magumu pale inapohitajika kwa maslahi ya Taifa letu,Ampe na kumzidishia moyo wa ujasiri katika kufanya maamuzi kwa manufaa ya Taifa letu, Mwenyezi MUNGU asiondoe mkono wake mahali alipo Rais wetu,popote awapo Rais wetu Basi uwepo wa Mwenyezi MUNGU Ukawepo mahali Hapo na kusimama Naye.

Lucas Hebel Mwashambwa , kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
KAMA ni mkweli na mcha MUNGU kwanini Anawalipa Mishahara wabunge 19 wasio na sifa ya Ubunge kutokana na kutokuwa na Chama?

Kwanini anazuia Mikutano ya Vyama vingine ili hali chama chake kinafanya mikutano?
Kwanini Hataki KATIBA MPYA katiba ambayo Wenye Nchi ambao ni Wananchi Wanaitaka?
Kwanini Hataki TUME HURU ya Uchaguzi ili HAKI itendeke kama MUNGU atakavyo HAKI?
 
Ifike mahali tuambiane ukwel, utawala wa dunia kote hakuna ucha MUNGU! Hata vitabu vya dini ukisoma utaelewa tu, viongoz kipind kile na serikali zao hawakua wacha MUNGU. NB: huez tumikia mabwana wawili!!
 
Naona umekazana mpaka kieleweke, haiwezekani udc waupate wengine wewe ukiusikia tu. Mcha Mungu hupenda hski na mpendahaki akatazi wenzake kuongea lao jambo.
 
Kuhusu wabunge wa chadema Hilo halimuhusu mh Rais,kwanza kesi ipo mahakamani hivyo nendeni mkapambane nao kisheria na mkishindwa pelekeni uamuzi wa mahakama kwa mh spika,pili kuhusu suala la katiba mpya Hilo lipo katika mchakato hasa baada ya ukamilishaji wa kukusanya maoni iliyofanywa na kikosi kazinkilichoongizwa na Prof mkandala ambapo kilikuja na mapendekezo kama 18 ambapo serikali itayafanyia kazi baada ya kuyapitia na kufanya tathimini ya kina kwa maslahi mapana ya Taifa letu,ambapo Ni humo ambapo na masula ya Tume huru ya uchaguzi yatapatiwa majibu, kuhusu mikutano ya vyama vya siasa Hilo nalo lipo katika mazungumzo ambapo umeona Kuna mazungumzo ambayo yalivikutanaisha vyama vyetu ambapo ni katika mazungumzo hayo majibu na muafaka wa mikutano ya vyama vya siasa utakapopatikana nakutolewa ufafanuzi
 
Naona umekazana mpaka kieleweke, haiwezekani udc waupate wengine wewe ukiusikia tu. Mcha Mungu hupenda hski na mpendahaki akatazi wenzake kuongea lao jambo.
Rais wetu mpendwa mama Samia Ni mpenda Haki ndio maana neno haki hutawala Sana katika ulimi wake na ndio sababu ya kuona utulivu ukitamalaki hapa nchini kwa kuwa watu wote Wana amani na hakuna anaye onewa Wala kukandamiza,husikii habari za watu kubambikiwa makesi au kuswagwa Kama mifugo
 
Umesahau kumalizia kwa kuweka namba ya simu.
 
Ifike mahali tuambiane ukwel, utawala wa dunia kote hakuna ucha MUNGU! Hata vitabu vya dini ukisoma utaelewa tu, viongoz kipind kile na serikali zao hawakua wacha MUNGU. NB: huez tumikia mabwana wawili!!
Mwenyezi MUNGU ndiye hutoa maarifa na njia kwa mwanadamu,Usipotambua uwepo wake na kuzingatia maandiko yake utajikuta unaongoza Kama kipofu au Gari lisilo Na Taa usiku,Lazima utakwenda korongoni Tu
 
louse.jpg
 
Kueleza ukweli siyo uchawa
Hakuna ukweli hapo, rais anayeteua wahuni waongoze wizara nyeti ndio aitwe mwenye hofu na Mungu?

Hahahaaa huo ni uchawa kabisa na sio ajabu post hii imeletwa na mwanafamilia wa hao wahuni wanaharibu nchi yetu
 
Wahuni wapi,Umetumia kigezo vipi Kuwaita wahuni?
 
Sema nini WAMBA, mipasho ya 1990 imezidi..!! Yaani kama vile wa 1990 siyo watanzania
 
Ndugu zangu,

Rais Samia Ni kiongozi wa kipekee Sana, Ni kiongozi mkweli na muwazi Sana. Ni kiongozi mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi MUNGU. Ni kiongozi ambaye Dhamira yake na kifua chake kimetawaliwa na hofu ya Mwenyezi Mungu. Ni kiongozi ambaye ukimsikiliza unaona Hataki kuzungumza maneno ili kumfurahisha mtu au watu. Hapendi kudanganya Wala kuwadanganya watanzania. Anasema ukweli na Ni msema kweli muda wote.

Anaeleza kila kinachokuwa kinaendelea serikalini kwake. Anahitaji kuona watanzania Tunajuwa na kufahamu kila kitu kinachotokea na Kuendelea katika serikali yetu. Anasema na kuzungumza kilicho katika kifua chake na kilicho Cha kweli. Roho yake na maneno yake huambatana kwa pamoja na kwa kuwa Ni mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na mcha Mungu unaona maneno yake na kauli zake zikiwa zenye uhalisia. Hii ndio sababu ya kuona akiungwa mkono na mamillion ya watanzania kwa kuwa serikali yake Inaendeshwa kwenye mwanga na siyo gizani. Ndio sababu anatetewa na wengi kwa kuwa wengi wanakuwa wanaufahamu ukweli wa mambo unaotokana na kuambiwa na kuelezwa ukweli.

Kila hatua au mchakato au maamuzi au juhudi zozote zinazokuwa zinafanywa na serikali yake lazima awaeleze watanzania, iwe Ni miradi, mikopo,Tozo, Kodi, Hali ya uchumi au vyovyote vile unaona akitoka hadharani na kuwaeleza watanzania. Ni viongozi wachache Sana Barani Afrika na hata Duniani kwote wenye uwezo wa kuendesha serikali kwa uwazi na ukweli Kama afanyavyo Rais Samia na serikali Yake.

Anafanya hivyo kwa kuwa kila afanyacho ni kwa dhamira njema kwa nchi yetu. Ni kwa kuwa Rais Samia ni mzalendo wa kweli. Ni kwa kuwa ana mapenzi ya dhati na upendo wa kweli na Taifa hili, anafanya hivyo kwa kuwa Amedhamilia kuwatumikia watanzania kwa kuiweka serikali mikononi mwa watanzania ambao ndio walio ichagua. Ndio maana anawambia ukweli pasipo kuwadanganya au kuwarubuni. Anausema ukweli hata Kama Ni mchungu.

Rais Samia Ni Mfano Wa kuigwa Barani Afrika. Ni Nyota Ya Matumaini kwa waliokata Tamaa. Ni nuru iwakayo gizani. Ni Taa imulikayo mioyo iliyokata Tamaa na kuona Giza mbele. Ni mfariji wa Taifa Kama mkuu wa nchi na kiongozi wa serikali yetu. Ni Tumaini na Faraja ya wanyonge wasio na sauti. Ni nguvu kwa wanyonge Na Askari mpambanaji asiye choka Wala kukata Tamaaa katika vita ya kulipigania na kuliletea Maendeleo Taifa letu. Rais Samia Anastahili pongezi, kutiwa moyo, Faraja, kuungwa mkono, kusaidiwa vyema na wasaidizi wake, kuombewa na watanzania afya njema na nguvu za kututumikia watanzania pamoja na macho ya Rohoni ya kuona na kung'amua yasiyo weza kuonekana kwa macho ya nyama.

Mwenyezi Mungu ambariki Rais Samia na kumlimda wakati wote. Amtetee na kumpigania katika Hatua zote apigazo na kusonga mbele katika kuzielekea ndoto za kuona Taifa hili linainuka kiuchumi na kumgusa kila mtanzania afanyaye kazi na juhudi za kujikwamua kiuchumi. Ampe maarifa Zaid na zaidi ya kuongoza Taifa letu, amzidishie hekima na busara katika kufanya maamuzi juu ya Taifa letu. Ampe watu wema na waungwana na wenye Dhamira ya Dhati na kweli na ya kizalendo katika kulitumikia Taifa letu pindi wamshauripo na kutoa mawazo yao, Amuondolee watu wabaya karibu yake ili wakae mbali Naye. Ampe ujasiri wa kufanya maamuzi magumu pale inapohitajika kwa maslahi ya Taifa letu. Ampe na kumzidishia moyo wa ujasiri katika kufanya maamuzi kwa manufaa ya Taifa letu, Mwenyezi MUNGU asiondoe mkono wake mahali alipo Rais wetu, popote awapo Rais wetu Basi uwepo wa Mwenyezi MUNGU Ukawepo mahali Hapo na kusimama Naye.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Sasa ulipoweka namba ya simu inamaana unahitaji ujira kwa huu uandishi,pumbavu sana wewe
 
Back
Top Bottom