Hofu ya Mwenyezi Mungu iliyo ndani ya Rais Samia imemfanya kuwa mkweli na muwazi katika Uendeshaji wa Serikali

Vipi kuhusu jiwe? Alikuwa na hofu ya Mungu?
Mwenye hofu ya Mungu angeweza kuona na kuacha raia wakiteseka huku tozo kule maji huku umeme hapa machinga! Pumbavu kabisa Kiongozi wa hovyo asiye na hofu ya Mungu ndiye anayeweza kutesa wananchi wake kiasi hicho
 
Angekuwa mpagani asiyemuamini Mungu msingekuwa na imani naye na msingemuunga mkono?
Rais wetu Ni mcha Mungu na mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu, watanzania Tuna Imani naye na Tuna mwamini na kumuunga mkono
 
Uwe unakula kwa wakati
 
Niwaze nin na holiday hii
Waza kusudi la kuumbwa kwako na kuwepo hai kwako mpaka leo hii ilihali wengine walisha tangulia mbele za haki,jiulize umefanya nini kikubwa mbele za Mwenyezi Mungu mpaka ukastahili Neema na bahati ya kuwepo mpaka leo. Tuendelee kuomba Neema ya Mungu ili tumalize mwaka salama,Tuwaombee na wengine pia walio wagonjwa ili wapate kupona kwa uweza wa Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema
 
Umeandika mengi ila hopeless kabisa
 
Una elimu ya kiasi gani?
 
Hata shetani huwa anatetemeka mbele za Mungu,kwa ujumla shetani Ana hofu ya Mungu pia
 
Hiki ulichoandika hakina mashiko sana ,kwa kuwa haongozi taasisi ya dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…