Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
[emoji1787][emoji1787]Sugu akileta huo utoto wake wa kumfata Tulia popote atakapogombea ni dhahiri hatutamuona bungeni 2025, CCM lazima wahakikishe Tulia anarudi mjengoni by any means. Kama Sugu anania ya ubunge asishindane na yule tolu.
Bado tunahitaji mikopo??Ni terms and conditions za mikopo sio yy mkuu,, 2025 chadema watakuwa kama wote bungeni
Endelea kujidanganyaTulia yupo pale strategically, kuna watu unaona kbsa wanaenda kula za uso (gambo) lakini sio Tulia.
Simba dume unafeli [emoji1787][emoji1787]Kwa jinsi Tulia alivyocheka nikaukumbuka ule ugonjwa wa kucheka uliokuwa unawapata wasichana shule za bweni.
Ili upone unahitaji something [emoji7]
kuna kitu hukijuiErthyrocyte king'ang'anizi wee [emoji1787][emoji1787]
Acha kutengeneza "conspiracy theory"....masuala ya migodi yako chini ya wizara......
Kauli hizihizi ulikuwa unazitoa kwa yule mkazi mwenzako wa Kyela uliyemsifu kwa madaha kuwa ni mkazi wa huko kwa miaka 15 na si Dr.Mwakyembe mwenye "shahada 100"....endelea kujidanganya
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna kitu hukijui
kuhusu bashe , anajua yeye mwenyewe kwamba amepewa tu uwaziri kwa nguvu za watu , kumbuka alikuwa ofisa mtendaji wa Mtanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ukijuaye kiweke hadharani....ila uache false allegations kwa "mh.waziri kutoka Nzega".....
Mkuu Yoda heshima kwako hivyo viti havipaswi kuwepo kabisa maana hao wabunge wa vitu maalum hawana kazi zaidi ya kutafuna pesa za walipa KodiWakiongeza majimbo ya uchaguzi wapunguze vita vya ubunge wa viti maalum.
Acha acha acha hayoooo...kuhusu bashe , anajua yeye mwenyewe kwamba amepewa tu uwaziri kwa nguvu za watu , kumbuka alikuwa ofisa mtendaji wa Mtanzania
Balaaa☺️Mama kuhudhiria siku ya wanawake na bawacha kunawaua Wana CCM wenzie ndani Kwa ndani na Hana upinzani Kila mtu anawaza hatima yake kuanzia speaker na wabunge wengine
weka ushahidiChadema ipi tena? Si walishaungana na sisimu hawaa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wanasiasa wachumia Tumbo wasikuingize Chaka.
Tamaa zao za madaraka zisizojali wananchi na mzigo wa kodi kulea wanasiasa zisikuyumbishe.
Achana nao ni tamaa tu wanaona kama 2025 hawatoboi.
Kama wameshindwa kuwatumikia Wanachi kwa weledi kwa sasa hao achana nao.
Kila mtu ashinde mechi zake 2025
Kawe, tegeta na bunju ni mengi sana, yawe mawili tu, labda kawe na tegeta, bunju iwe ndani ya tegeta, basi.Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni
Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi
Jumaa kareem!
Acha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawiliHuu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero