Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Sugu akileta huo utoto wake wa kumfata Tulia popote atakapogombea ni dhahiri hatutamuona bungeni 2025, CCM lazima wahakikishe Tulia anarudi mjengoni by any means. Kama Sugu anania ya ubunge asishindane na yule tolu.
[emoji1787][emoji1787]
 
Kwa jinsi Tulia alivyocheka nikaukumbuka ule ugonjwa wa kucheka uliokuwa unawapata wasichana shule za bweni.
Ili upone unahitaji something [emoji7]
Simba dume unafeli [emoji1787][emoji1787]

Video aliyoiweka si yake mwenyewe bali amefikisha ujumbe kuwa anayechekwa anastahili haswaaaa
 
endelea kujidanganya
Kauli hizihizi ulikuwa unazitoa kwa yule mkazi mwenzako wa Kyela uliyemsifu kwa madaha kuwa ni mkazi wa huko kwa miaka 15 na si Dr.Mwakyembe mwenye "shahada 100"....

Mwisho wa siku Ally Anyigulile Kinanasi akayafanya yake[emoji1787][emoji1787]

CCM hooyeeee
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe ukijuaye kiweke hadharani....ila uache false allegations kwa "mh.waziri kutoka Nzega".....
kuhusu bashe , anajua yeye mwenyewe kwamba amepewa tu uwaziri kwa nguvu za watu , kumbuka alikuwa ofisa mtendaji wa Mtanzania
 
kuhusu bashe , anajua yeye mwenyewe kwamba amepewa tu uwaziri kwa nguvu za watu , kumbuka alikuwa ofisa mtendaji wa Mtanzania
Acha acha acha hayoooo...

Uafisa wake mtendaji huko ni muda mrefu sana uliopita khaaaa.....

Bashe amekuwa katika POLITICAL ARENA muda mrefu pia.....aligombea Nzega ikiwa Jimbo moja na akashinda kura za maoni huku Dr.Kigwangala akiwa wa 3 na hakupitishwa kuugombea ubunge.....haya yanahusiana nini na mgodi wa RESOLUTE?!!!

Unawaacha watu wa WIZARA YA MADINI unamuingiza Mh.Bashe?!!!

Acha siasa za CUBA [emoji1787][emoji1787]
 
Wanasiasa wachumia Tumbo wasikuingize Chaka.

Tamaa zao za madaraka zisizojali wananchi na mzigo wa kodi kulea wanasiasa zisikuyumbishe.

Achana nao ni tamaa tu wanaona kama 2025 hawatoboi.

Kama wameshindwa kuwatumikia Wanachi kwa weledi kwa sasa hao achana nao.
Kila mtu ashinde mechi zake 2025
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni

Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi

Jumaa kareem!
 
Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni

Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi

Jumaa kareem!
Kawe, tegeta na bunju ni mengi sana, yawe mawili tu, labda kawe na tegeta, bunju iwe ndani ya tegeta, basi.

Sababu ni ongezeko la watu eneo hilo, maana idadi ya watu ndio inaamua sehemu iwe na mbunge wake ama la
 
Huu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero
Acha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili
 
Back
Top Bottom