johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweliAcha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili
Mashauri ya Maridhiano??Huu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero
Halima Mdee ni Mbunge wa Chadema bwashee!Huu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero
Jengo lile lile wataweka mabenchi kama UK au KanisaniKwa mwendo huu wa kuongeza majimbo kiholela, Itabidi lijengwe jengo la bunge kubwa zaidi.
Sisi wananchi walipa kodi tunataka majimbo yapunguzwe ili gharama za kuwalipa wabunge zipungue !! Jamani mutuonee huruma !!Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni
Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi
Jumaa kareem!
Hujui tofauti ya federal government and electoral constituency elimu yako ya political science ni ndogo sana, jamani elimu ni bure sometimes.Mashauri ya Maridhiano??
CHADEMA ndio itakayokuja kugawa na hata kuuza Nchi hii kwa kuleta utawala wa Majimbo.
....Haya ya kugawa majimbo kuelekea 2025 ni moja kati ya mengi yanayoshinikizwa?? katika yale Maridhiano ya Siri.... kwani hizi taarifa zimekaa kimkakati. Wana testi Umma hawa Viongozi wa Kesho sio bure hii.
Umenikumbusha mbaali "Wananchi wanataka maendeleo hawataki braaaaa braaaa 🤣🤣🤣!!Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema.
Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema.
Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi.
Taja idadi ya hao watu.Acha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili
kwani kuna foleni ya kuhudumia idadi kubwa ya watu, kwamba watu wengi foleni kubwa ya kusikilizwa.Kawe, tegeta na bunju ni mengi sana, yawe mawili tu, labda kawe na tegeta, bunju iwe ndani ya tegeta, basi.
Sababu ni ongezeko la watu eneo hilo, maana idadi ya watu ndio inaamua sehemu iwe na mbunge wake ama la
CCM inatudharau sana sisi walipa kodi na tozoGharama za kuendesha serikali kwa Sasa zipo juu bado wanataka kuongeza nyingine.