Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Acha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili
Ni kweli
 
Huu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero
Mashauri ya Maridhiano??

CHADEMA ndio itakayokuja kugawa na hata kuuza Nchi hii kwa kuleta utawala wa Majimbo.

....Haya ya kugawa majimbo kuelekea 2025 ni moja kati ya mengi yanayoshinikizwa?? katika yale Maridhiano ya Siri.... kwani hizi taarifa zimekaa kimkakati. Wana testi Umma hawa Viongozi wa Kesho sio bure hii.
 
Huu Ndiyo Ujinga Uliokomaa Ndani Ya Ccm Na Ilani Mbovu Wanayoibebea Kwenye Mikoba Yao
Mnakubaliana Kuigawa Tanzania Mpate Vyeo Vyenu Na Siyo Wananchi Watatuliwe Kero
Halima Mdee ni Mbunge wa Chadema bwashee!
 
Tunataka kuingiza Serikali kwenye hasara ya fedha tu, fedha zenyewe ziko wapi za kugawana majimbo?!!!

Kuna maombi ya kugawa Wilaya, mikoa, na sasa majimbo!!! Sasa swali la kujiuliza hizo fedha ziko wapi za kufanya hizo hanasa kwa sasa??!!!

Kwa Hali hii ya uchumi wenye changamoto kibao kweli tunadai majimbo ili tulee?!! Hapana tuache huu upuuuzi tuwe na uchungu kwa wananchi tusijali matumbo yetu.

Serikali yetu isije kuingia kwenye mtego huu wa kufuja fedha kwa sasa labda Hadi mwaka 2040 uchumi wetu utakapo kuwa upo imara zaidi sio sasa.
 
Inadaiwa Mdee anaomba Jimbo la Kawe ligawanywe lizae majimbo matatu yenye ukubwa sawa na Jimbo la Kinondoni

Inadaiwa na Mdee kuongoza Jimbo linalotoka Masaki hadi mpakani mwa DSM na mkoa wa Pwani kunahitaji msuli wa ziada kama wa Kwake lakini wengine hawawezi

Jumaa kareem!
Sisi wananchi walipa kodi tunataka majimbo yapunguzwe ili gharama za kuwalipa wabunge zipungue !! Jamani mutuonee huruma !!
 
Mashauri ya Maridhiano??

CHADEMA ndio itakayokuja kugawa na hata kuuza Nchi hii kwa kuleta utawala wa Majimbo.

....Haya ya kugawa majimbo kuelekea 2025 ni moja kati ya mengi yanayoshinikizwa?? katika yale Maridhiano ya Siri.... kwani hizi taarifa zimekaa kimkakati. Wana testi Umma hawa Viongozi wa Kesho sio bure hii.
Hujui tofauti ya federal government and electoral constituency elimu yako ya political science ni ndogo sana, jamani elimu ni bure sometimes.
 
Hali ya Wabunge wa ccm Majimboni ni Dhooful Hali, baada ya 2020 kubebwa kama watoto njiti wenye utapia mlo na Mbeleko ya Magufuli , Dr Mahera na Wakurugenzi wa Halmashauri , sasa kila mmoja anapambana kivyake ili asisombwe na upepo mkali wa Chadema.

Mbunge wa Arusha Mjini ndugu Mrisho Gambo naye amejitokeza hadharani kuomba Serikali ya Tanzania kupanua goli kwa kuligawa Jimbo la Arusha Mjini na kuleta Jimbo Jipya la Murriet , hofu yake kuu ikiwa ni kupambana na Godbless Lema.

Tunatoa wito kwa wabunge wengine wa ccm wenye hofu ya kuangukia pua 2025 wajiorodheshe ili serikali ambayo nayo ni ya ccm iwafanyie wepesi.
Umenikumbusha mbaali "Wananchi wanataka maendeleo hawataki braaaaa braaaa 🤣🤣🤣!!
 
If wishes were horses beggars could ride.Wanaoota waendelee kuota mwisho wao ukifika utasikia mayowe ohh tumeibiwa kura.
 
Gharama za kuendesha serikali kwa Sasa zipo juu bado wanataka kuongeza nyingine.
 
Masuala ya viti maalum yafutwe halafu nafasi zao ziwe replaced na kugawanywa kwa majimbo kuepuka kuongeza mzigo kwa serikali. Nchi masikini zinatumia pesa nyingi kuwalisha na kuwatunza viongozi kwa jasho la maskini
 
Kwani kazi ya wabunge ni kuchunga watu kama kondoo, sasa wameongezeka waongezewe mchungaji?

Matatizo ya wananchi sehemu kubwa ni miundombinu na hudmua (barabara, maji, masoko, hospitali, ardhi na ulinzi na usalama) ambavyo ni vile vile kila mahali wawepo watu 10 au 15.

Itis very strange way of thinking
 
Acha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili
Taja idadi ya hao watu.
 
Kawe, tegeta na bunju ni mengi sana, yawe mawili tu, labda kawe na tegeta, bunju iwe ndani ya tegeta, basi.

Sababu ni ongezeko la watu eneo hilo, maana idadi ya watu ndio inaamua sehemu iwe na mbunge wake ama la
kwani kuna foleni ya kuhudumia idadi kubwa ya watu, kwamba watu wengi foleni kubwa ya kusikilizwa.
Ni kuchezea kodi tu hakuna lolote.
Dar inatakiwa kuwa na majimbo 3 basi. Bunge hili idadi yake iwe nusu ya hivi> pia wingi wa watu isiwe hoja bali ukubwa wa eneo.
 
Mbona Zanzibar majimbo ni mengi tu bila kufuata idadi ya watu,haya ni maamuzi ya kisiasa tu ingawaje yatagusa katiba na sheria kuhusu idadi ya wabunge.
 
Back
Top Bottom