johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kweliAcha ujinga, lazima maeneo ya kiutawala yabadilike kureflect mabadiliko ya idadi ya watu, kawe hiyo ilikuwa inahusisha maeneo ambayo yalikuwa pori miaka michache tu, sasa yamejaa watu kotekote, na moja ya kigezo cha sehemu kupanda hadhi kuwa jimbo la uchaguzi na kuwa a mbunge wake yenyewe ni idadi ya watu, kwa hadi sasa jimbo la kawe ni lina idadi ya watu kupita majimbo mengi sana ya uchaguzi inastahili kuwa majimbo walau mawili