Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Kwahiyo unashauri tuwanya'ganye asali wale wachache wanaojinadi kulamba asali kwa sasa na tuwatupe lupango!
 
Huu ni uwongo wa mchana. Magufuli 2015 hakushinda uchaguzi bali ni akina Team Masakii (Kinana, Januari, Nape) na Modest Kapilimba walivyo cheza na mtandao wakaiba kura za Lowassa na kumhamishia Magufuli.

Mwaka 2020 Magufuli hakusubiri kura zihesabiwe kwa sababu asingeweza kumshinda Tundu Lissu. Kimsingi mwaka 2020 alipata kwa nguvu ya TISS, POLICE na NEC.

Sasa utashindaje uchaguzi kwa kuwa muumini wa Magufuli ambaye hajawahi kushinda uchaguzi wowote?
 
Mnajidanganya sana aisee..mnaenda na upepo..hili pia likibuma mtakuja na mengine..unganeni wote halafu 2025 mtajua hamjui.
 
Acha kukariri. Muda huamua lolote.
 
Labda ulikuwa ndani ya CCM kwahiyo huwajui vizuri. Waulize Chadema ndio wanawajua vizuri, na Mange Kimambi


Haaah haaaaaah!

Sikuwahi kuwa ndani ya chama chochote tangu nizaliwe mkuu,ila safari hii kama hawa jamaa watakuwa serious kweli,basi nipo tayari kuwa mstari wa mbele!!
 
Haaah haaaaaah!

Sikuwahi kuwa ndani ya chama chochote tangu nizaliwe mkuu,ila safari hii kama hawa jamaa watakuwa serious kweli,basi nipo tayari kuwa mstari wa mbele!!
Kila la kheri mkuu.. Iko siku utakumbuka haya maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…