Acha haya mambo mkuu dollar 2,000,000/=Ni ngumu sana kujua mkuu maana pia Youtube wanalipa kutokana na location ya watazamaji ina matter. Aliyetazama video na tangazo akiwa US yani watazamaji tokea US wanakupa mapato zaidi kuliko wa TZ.
Lakini roughly inaweza fika zaidi ya dollar 2,000,0000
Acha haya mambo mkuu dollar 2,000,000/=
Si pesa ndogo aisee.Ni 4,600,000,000.
Means 4.6B...
Paragraph ya kwanza ya mtoa mada inanipa maana kuwa huenda kuna wasanii wenye viewers wengi kutoka katika hizo nchi za kiarabu kuliko hao aliowataja, ila kaamua kuwaweka pembeni kwanza.
Au wewe umeelewaje mkuu Innocent
Waarabu wa misri, morocco, tunisia, n. k tupo nao tu bara moja, wana tamaduni na lugha ambazo kwa waafrika wengi hasa waeusi tupo tofauti, hata mwarabu wa egypt akienda marekani hawezi kuitwa nigga ila sisi ni mule muleWaarabu nyimbo zao nyingi Zina viewers wengi kuliko wasanii wote wa east,west and central Africa ila tatizo lao hawatambuliki kwenye soko la sub-saharani kwahiyo sio kosa la mtoa mada kosa Ni lao hao wasanii wa kiarabu kujitengenezea dunia yao Pekee yao
Waarabu wa misri, morocco, tunisia, n. k tupo nao tu bara moja, wana tamaduni na lugha ambazo kwa waafrika wengi hasa waeusi tupo tofauti, hata mwarabu wa egypt akienda marekani hawezi kuitwa nigga ila sisi ni mule mule
Yes ulidhani nimeandika bahati mbaya? Watu wanapiga ela ya maana sana youtube sana tu. Ni ngumu sana kujua mtu amengiza kiasi gani lakini malipo ni between 1-3 USD kwa 1000 views, japo nako kuna mengi ya kuzingatia kama mtazamaji anatoka wapi, je ametazama tangazo kwa sekunde thelathini, au amelibonyeza tangazo. Hayo ndiyo yana determine kiasi cha ela mtu atakacholipwa. So kwa ku estimate you can do your maths.Acha haya mambo mkuu dollar 2,000,000/=
Si pesa ndogo aisee.Ni 4,600,000,000.
Means 4.6B...
Sana maana unakuta video yake moja ina viewers hata million 200. Desipacito nadhani ina viewers zaidi ya billion mbili.Basi kina Bieber wana mkwanja aisee
Wale hawategemei YouTube Views!Basi kina Bieber wana mkwanja aisee
Wale hawategemei YouTube Views!
wewe ni maskini ndio mana umewaza hivyo na utaendelea kua maskini maisha yako yote hadi kufa kwako.Kupiga mahesabu pesa za watu, lakini hesabu za serikali hatuzijui, ndio maana tunapigwa kodi zetu huku tunashangilia.
anyway ukishajua unataka akakuoe?
Wale hawategemei YouTube Views!
Yule angeshapost kama kulipa kodi ya 54mil akapost
wewe ni maskini ndio mana umewaza hivyo na utaendelea kua maskini maisha yako yote hadi kufa kwako.sikutegemea kijana kama wewe kutaka kujua kiasi anachoingiza mwanaume mwenzio kiukwel nimeona aibu mimi
asante, nilitegemea swali kama hiliMi nataka kujua tu, kwa mfano mtu akishalipwa pesa na YouTube ambao wako huko USA, serikali ya Tanzania nayo inachukua kodi kutoka kwenye pesa hiyo, au inakuwaje? Maana nina uhakika serikali ya USA pia lazima ikate kodi kutoka kwenye pesa hizohizo.
ipo hiviMi nataka kujua tu, kwa mfano mtu akishalipwa pesa na YouTube ambao wako huko USA, serikali ya Tanzania nayo inachukua kodi kutoka kwenye pesa hiyo, au inakuwaje? Maana nina uhakika serikali ya USA pia lazima ikate kodi kutoka kwenye pesa hizohizo.