Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
OfcourseNa kupitia hao watu wanamake a lot of profit..mfano Pepsi Tanzania
Kwahiyo unamkomoa nani sasa [emoji2]Kama ni kweli ngoja nibadili line niweke Voda
Una laaaaaaana [emoji28]Kama ni kweli ngoja nibadili line niweke Voda
Wwe na vigezo vyako hivyo endelea kupiga domo tu maskani.Kiingilishi kinapanda?...
Elimu ya Telecom ipo? Ok.
Exposure je?......
Anewei.. hongera kwake.
Aisee huu mtizamo wachache sana bado siamini, niaminishe.Mi sio wa hivyo Laki, mi napenda mwanaume mtulivu na mwenye mapenzi sio pesa.
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu, ni baadae tena wakati familia ikipatikana.
Na sio pesa za kufuru, lah! Za kukidhi mahitaji basi.
Kwani ujinga ni nini? Wewe ujinga huwa unakupa tabasamu? Na kukataa ujinga ni kuchukulia maisha serious na kukubali ujinga ndiyo kufurahia maisha? Wewe naona unachanganya kati ya funny (nimekosa neno lake kwa kiswahili) na ujinga. Mtu kama Manara mambo anayosema na kutenda ndiyo burudani kwako? Kweli nchi yetu ina matatizo makubwa. Anyways, nadhani hata hao waliomteua wamefanya hivyo kwa sababu wanajua nchi yetu imejaa wapumbavu watakafurahia. Hata Makonda aliteulia kwa sababu hiyo hiyo.Mh
Maisha haya usiyachukulie sana serious bro,hata unaejitambua kuna muda wa kusikiliza ujinga ili upate tabasamu na ikibidi kicheko sio kila saa we uko serious ili uonekane una akili
Kipaji kwenye mambo serious? Basi hata huko hospitalini kuwe na madaktar wenye vipaji ambao hawana any license or certificate.Wwe na vigezo vyako hivyo endelea kupiga domo tu maskani.
Yupo mtangazaji mkubwa na bloger hapa bongo ni billionea ila form four alifeli sema ana kipaji ,leo yupo mbali kushinda walioenda kusoma nje mass communication.
Yupo mmoja nae karudi kutoka BBC ni hivyo ...Mtu kama ana kipaji haina haja ya elimu ya makaratasi.
Hilo neno WOTE umeliweka wewe.Unaongelea exposure gani kwa Haji Manara?
Watu wote wanaofanyia kazi kwenye kampuni za simu lazima wawe na telecom education?
sidhan kama hajaiva nadhani kabla hajapewa deal alikua class, hawawezi mtangaza tu wakat hajaiva.
kutangazwa kwake ni kama mwanafunzi anae hitimu,mtihani kwanza, una clear SAP zote ndipo una graduate.
Manara kashaiva huyo deal hajalipata jana alilipata muda kidogo ila alikua darasani ndio mana siku zote alionekana mwenye furaha na kuringa kwani alishaanza mpaka na Kulipwa kabla hajawekwa hadharani.
Wana jamvi ndio tumejulishwa jana baada ya SEMAJI ku clear SAP zote.
Ulivyoandika kama una uhakika vile.Hayo unayajua wewe business company siku hizi wameshatoka huko
Tofautisha msemaji wa products na msemaji wa kampuni ni vitu viwili hapo tunaongelea msemaji wa kampuni lazima awe na knowledge ila wa priducts ni muhimu awe na nguvu ya ushawishi..Ulivyoandika kama una uhakika vile.
Bizness yoyote ile inakupaswa uijue BIASHARA. usipoijua Biashara yako huwezi fanya kitu. Haji haijui Biashara ya telecom anaijua Biashara ya Mpira.
Soma heading ya hii habari imeandikwaje?Tofautisha msemaji wa products na msemaji wa kampuni ni vitu viwili hapo tunaongelea msemaji wa kampuni lazima awe na knowledge ila wa priducts ni muhimu awe na nguvu ya ushawishi..
Yupo unique ndio maana karama ya umashuhuri anayoPamoja na madhaifu yake yote, matusi na lugha chafu ila ukweli Manara ana karama ya umashuhuri.
Kila anachogusa na kufanya ni habari. Sijajua usemaji huo utakuwa wa aina gani hasa kwenye mtandao wa simu ila sina mashaka na utekelezaji wake.
Manara alizaliwa kufanya anachokifanya.
Wanawake mje msome katiba hapa.......!Mi sio wa hivyo Laki, mi napenda mwanaume mtulivu na mwenye mapenzi sio pesa.
Pesa sio kigezo cha kwanza kwangu, ni baadae tena wakati familia ikipatikana.
Na sio pesa za kufuru, lah! Za kukidhi mahitaji basi.
Magumu kwako boss,watu wana vismati vyao.Maisha rahisi hivyo ee.. sawa.
Huwa nainjoi mambo yake, ukute sasa anachambana na mangePamoja na madhaifu yake yote, matusi na lugha chafu ila ukweli Manara ana karama ya umashuhuri.
Kila anachogusa na kufanya ni habari. Sijajua usemaji huo utakuwa wa aina gani hasa kwenye mtandao wa simu ila sina mashaka na utekelezaji wake.
Manara alizaliwa kufanya anachokifanya.
Mambo ya serious ndio yapi? Hapo sio hospitalini, kwamba hao hawana akili watoe mamilion kwa mtu ambaye hafit kweny nafasi.!?Kipaji kwenye mambo serious? Basi hata huko hospitalini kuwe na madaktar wenye vipaji ambao hawana any license or certificate.
Usidharau profession za watu Mkuu..
Atajisahau tu utasikia mitandao mingine wehu mbwa magabachori na majina ya ushenzi ushenzi atawapa tigo wasipoangalia wanaenda kupata makesi kupitia bwana zero brain hachagui cha kuongea ni pro propeoooo kamaliza😂😂Unajua kuitwa MSEMAJI ujue ni jina zito sana.
Lazima Biashara uijue haswa, ujue mambo ya kiteknolojia ujue taasisi mipango yake yaan Strategic plans..
Huyu jamaa kule kwenye Mpira palimfaa kwa kuwa anafaham Mpira maana amezaliwa na kukulia ktk Mpira.
Ila huku kwenye maswala ya 5G mara 4G na unaenda ktk midahalo ya kimataifa kuzungumzia kampuni yako. Una content..?
Utabisha ila ukweli ndio huo.Mambo ya serious ndio yapi? Hapo sio hospitalini, kwamba hao hawana akili watoe mamilion kwa mtu ambaye hafit kweny nafasi.!?