Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Hongera Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa kuistukia Tume ya Uchaguzi (NEC)

Sawa, hebu soma hapo juu ulichoandika, Fanya masahihisho, rudia kuandika. Kiufupi hata hueleweki umeandika kuhusu kitu gani.
Hao ndio chadema kuandika tu hawaekeweki inasemwa mtu hakatai with hukataa analoitiwa Sasa alichokataa kusaini Ni kitu gani hajasema.kusoma Hapo Hapo na kusaini kuna shida gani mfano pameandikwa waliohudhuria Ni huyu na huyu na huyu saini mtu atakayaa kusaini kuwa hiyo fomu ya waliohudhuria ilikuwa imeandaliwa tayari wajumbe wakaambiwa wasome na kusaini Mimi mnyika nikakataa kusain!

Elimu ndogo ya mnyika inachangia pia
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.

Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani documents zilikuwa zinawahitaji wasome na kusaini.

Huu ni mchezo wa paka kumuandalia chakula panya, yaani walitakiwa wapewe muda angalau wa kuzisoma na kama kuna marekebisho basi wayapendekeze kwa NEC iyafanyie marekebisho.

Wakati wawakilishi wa vyama vingine walipiga kimya na kukubali tu kupitishwa.

Hongera sana katibu bora wa chama bora cdm.
Mbinu za kishetani Kama hizi mchungaji fake wa river side hazioni jumapili akipewa sadaka za bure za kondoo anaanza kutetea wanaopanga hizi hujuma. Fake pastor.
 
miaka 5 upuuzi mtupu kukandamiza haki za watumishi wa umma.hawa ni hatari duniani.
 
Yupi au yule mwanachama muaminifi wa Tanzania konyagi
Mbinu za kishetani Kama hizi mchungaji fake wa river side hazioni jumapili akipewa sadaka za bure za kondoo anaanza kutetea wanaopanga hizi hujuma. Fake pastor.
 
Ogopa sana mtu anayezama chochote kilicho karibu yake ataking'ang'ania kama ruba.
 
Leo hii NEC iliandaa kikao maalum na wawakilishi wa vyama vyote vya siasa ili kujadili na kupokea baadhi ya marekebisho ya sheria mbali mbali.

Ktk kutekeleza hayo NEC walikwisha andaa documents tayari kwa kila mwakilishi wa chama azisome na kuzisaini hapo hapo. Mnyika akastukia mchezo wao kwani documents zilikuwa zinawahitaji wasome na kusaini.

Huu ni mchezo wa paka kumuandalia chakula panya, yaani walitakiwa wapewe muda angalau wa kuzisoma na kama kuna marekebisho basi wayapendekeze kwa NEC iyafanyie marekebisho.

Wakati wawakilishi wa vyama vingine walipiga kimya na kukubali tu kupitishwa.

Hongera sana katibu bora wa chama bora cdm.
Wengine walifuata posho ya kikao around 3k kwa kila mshiriki hivyo walijua hakuna atakaye soma zaidi ya kuwaza posho, safi Mnyika.
 
Hakuna jambo linauma kama kufanya kitu ulichoona umeficha sana then mtu akakustukia, pole NEC rekebisheni tu hayo maeneo ambayo mkanganyiko ushaonekana kwa maslahi ya vyama vyote vya siasa nchini.
 
Back
Top Bottom