Hongera Kinana kwa kumjibu Tundu Lissu ila kazi bado ipo

Nimeisoma IGA na nimeielewa vizuri sana. Kwenye kuuzwa kwa Bandari Lissu aliongopa na Kinana kamjibu vizuri sana
IGA Article 23 and TLS Observation and recommendation thereof. The attached are extracts of IGA Article 23 and TLS Observation on the same.
 
Attachments

Naona wewe unapiga kelele
Lissu mpumbavu tu sawa na wengine wengi tu huku mitaani. Bandari kutafutiwa wawekezaji ni sera imeandikwa kwenye ilani ya uchaguzi Samia hafanyi hivyo kwa utashi wake.

Kuleta wawekezaji wapya ni kuimarisha ufanisi wa sekta nzima ya bandari ili pato la taifa liongezeke, huyo Lissu anaongea ujinga ili apate kupendwa na wasikilizaji lakini mtu makini atamsikiliza na kumpuuza tu.
Naona wewe unapiga kelele tu huna tofauti na Kibajajiji and his types.
 
Serikali ni moja hili kosa la kihistoria linatakiwa kufanyiwa marekebisho
 
IGA Article 23 and TLS Observation and recommendation thereof. The attached are extracts of IGA Article 23 and TLS Observation on the same.
Upuuzi mtupu. DP World kaingia mkataba wa kufanya biashara hapo bandarini na hana mamlaka yoyote zaidi ya hizo gati chache alizopewa.

Kuna wawekezaji watapewa bandari ya Mbinga, kuna wengine watapewa bandari za Tanga, Mtwara na Lindi. Kila mwekezaji atakuwa na mkataba wake wenye kujitegemea wenyewe kama wenyewe usioingiliana na mikataba mingine.

Wajinga pekee ndio wenye kuweza kukubaliana na hizi hoja za IGA.
 
Lissu ndio mpiga kelele anayewapata wajinga wa mitaani.
Kawaulize Lumumba Lissu ni nani.
Upuuzi mtupu. DP World kaingia mkataba wa kufanya biashara hapo bandarini na hana mamlaka yoyote zaidi ya hizo gati chache alizopewa.

Kuna wawekezaji watapewa bandari ya Mbinga, kuna wengine watapewa bandari za Tanga, Mtwara na Lindi. Kila mwekezaji atakuwa na mkataba wake wenye kujitegemea wenyewe kama wenyewe usioingiliana na mikataba mingine.

Wajinga pekee ndio wenye kuweza kukubaliana na hizi hoja za IGA.
Kwa hiyo IGA ni ya nini sasa kama terms zake siyo applicable kwenye mikataba inayotambuliwa na IGA?
 
Kawaulize Lumumba Lissu ni nani.

Kwa hiyo IGA ni ya nini sasa kama terms zake siyo applicable kwenye mikataba inayotambuliwa na IGA?
IGA inatumika kutokana na aina ya uwekezaji unaofanyika. Ni umbumbumbu wetu watanzania kudhani kuwa IGA inatufunga kiasi cha eti kushindwa kuingia mikataba na waendeshaji wengine wa bandari nyinginezo.

Lissu ni sehemu ya wanaokula mshahara wa system inayoendesha nchi hii, usimwamini hata siku moja mwanasiasa wa Tanzania.
 
Lissu tunamwamini kuliko unavyodhani. Sababu kubwa ya kipekee ni kwamba anayasema hadharani tunayoyajua.

Jielimishe zaidi kuhusu IGA hujachelewa.
 
Back
Top Bottom