Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kaka, ndio maana nikasema hiz zilikua ni stages katika ku achieve program, huwez futa ghafla bila kuwa na mbadala.Haya Nina ushahidi nayo. Sasa hayo ya kwako sijui 40 hadi 20 ndio bure?
Sasa kama tayari elimu ilikuwa ni bure, hiyo 2015 ccm waliposema elimu itakuwa bure walimaanisha nini, wakati tayari ilikuwa bure?
Ndio maana primary ikafutwa,
Baada ya muda sekondar ikapunguzwa
Baada ya muda sekondari ikafutwa.
Mbona ni hatua za kawaida kabisa na zina make sense.
Walisema haiwezekani kwakua wao walikua na utaratibu wao wa utekelezaji, haukua unawezekana kulingana na matakwa ya wapinzani wengine waljvyotaka mpango utekelezwe