Kila mtu ana kwao Jumbe kwao ni mji mwema , Mwinyi kwao ni Mkuranga, Magufuli kwao Chato , Idrissa Wakil kwao Makunduchi, Seif Shariff Kwao ni Mtambwe, Nyerere kwao ni Butiama, , Salmini kwao ni Kidongo vipi uwape watu wote wa Zanzibar sehemu Za bara kuwa ndio kwao ??? hiyo ndiyo elimu ya CCM na kanisa kutaka kuvimeza visiwa. Hiyo Tanganyika ina laana kwa kuivamia Zanzibar na haiwezi kufanya lolote la maana mpaka iombe radhi kwa Zanzibar kwa kumwaga damu Za watu kwa maelfu au karma itawashika tu . Mliowavamia hawana nguvu wanamuelekea Mungu. Dua ya mnyonge hairudi