Ametengeneza 3 mpaka anafanya Uzinduzi.Hiyo bila shaka ni prototype hadi sasa limetwngenezwa hilo tu, swali namba 1 ndio analoweza kujibu kwa sasa...
Mengine ngoja tumsubiri atapofanya mass production...
Bei iko chini ya 10MUnadhani kwa sasa anataka kushindana na kampuni kubwa kama Suzuki? Kwa sasa naamimi atatengeneza kwa oda. Mtu akiweka Oda anatengenezewa. Ni suala la muda tu utagundua fikra zake ni tofauti sana na zako Labda bei iwe juu sana ashindwe kuuza kwa uhalisia. Ila mpaka hapa alipofika anastahili pongezi.
Unit 600 utahitaji umeme wa laki 2 na nusu...Ili uende km100.....ujinga mtupuNitakujibu kwa kifupi:
1. Ukichaji kwa saa 6, utatumia units 600
2. Chaji hiyo unaweza kuitumia kwa km 100 au saa 1 na nusu
3. Kinaweza kupakia kg 200 au mifuko 4 ya smenti pamoja na dereva
4. Spear zake kwa sasa hakuna
5. Kinaweza kudumu kwa miaka 5
Tesla wana gari la zaidi ya 1000KM per charge, na huwezi safiri KM zote hizo bila kupumzikaMagari ya mafuta yataendelea kuwa bora siku zote, embu fikiria una safari ya ghafla usubiri masaa 6 chaji, au linakuzimikia batabarani upeleke chaji usubirie, mafuta hata kwa dumu unafuata na maisha yanasonga
Nchi za wenzeti ni zipi..?Nchi za wenzetu hautengenezi gari na kuingiza sokoni kienyeji.
Hizo test zote lazima.
Ndo maana karibu gari zote za wenzetu zinakuwa na safety ratings.
Hizo noah voxy ukitafuta safety ratings zake utazipata.
Sio ujinga kila tatizo linatafutiwa suluhu..na kufanya maboresho, na usifikiri mtu aliyeamuwa kutekeleza wazo hilo hajafikria yote mnayoyasema ... !Unit 600 utahitaji umeme wa laki 2 na nusu...Ili uende km100.....ujinga mtupu
..... basi nadhani kulikuwa na maswali mengi sana alipaswa kuyajibu kwenye speech yake siku ya uzinduzi! Maana wengi wanajiuliza maswali mengi sana juu ya ndinga hili! Hata hivyo, hongera nyingi zimfikie kwa ubunifu huu na uthubutu wake!1. Ukichaji kwa masaa sita linakuwa kimekula units ngapi za umeme?
2. Kinauwezo wa kusukuma Tani ngapi if not kilos?
3. Kikiharibika kinaenda garage au kwa fundi simu/ radio?
4. Kina shelf life ya miaka mingapi kwa engine take na max load capacity
Tuwe tunasikiliza na kuelewa..milioni 40 ni kwa lile gari la kwanza ambalo errors zilikuwa nyingi..bei ya hilo gari amesema kwa sasa ni milioni 10Yani ashindane na kirikuu ambayo Bei yake ni chini karibia 12m afu hiyo yake kasema imemgarimu zaidi ya 40 atashindanaje Sasa hapo..????
Kirikuu ni used..hii ni mpya.Yani ashindane na kirikuu ambayo Bei yake ni chini karibia 12m afu hiyo yake kasema imemgarimu zaidi ya 40 atashindanaje Sasa hapo..????
Ndogo sanaNilimsikia anasema gari ikiwa full charged inauwezo wa kutembea umbali wa 70km
Nchi za wenzeti ni zipi..?
Nani kaingiza gari sokoni kienyeji?
Sijakuelewa bado unazunguka zungukaNchi za wenzetu ni watengenezaji wakubwa wa magari duniani. Marekani, Western Europe na Asia[Far East].
Hakuna nimemtaja kwamba kaingiza gari kienyeji ila point yangu ilikuwa hizo nchi mpaka gari inaingia sokoni inapitia test nyingi na siyo mtu kulitengeneza na kulitia sokoni.
Na zipo gari nyingi ambazo zimefeli baadhi ya test.
Nimeeleweka?
Kasema ni unit 3 tu ambazo hazizidi shs 1,000tu hizo unit 600 umetoa wapi?Unit 600 utahitaji umeme wa laki 2 na nusu...Ili uende km100.....ujinga mtupu
Kwan motor sio engine 😁 au umecrem ukisikia engine unajua ni zile za kuweka mafutaHaitumii engine hii , i think ina mota tu kwa chini humo, eneo la engine pako empty
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Kama hujanielewa basi mkuu.Sijakuelewa bado unazunguka zunguka
Liko Moja crash test ya nini???[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Atakaenunua atajua siku vikiumanaaa