Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,727
- 8,918
Kubadili mfumo vs kutengeneza gari ya kwanzanimeona mwananchi wameweka kuwa Gari la kwanza la umeme ndio limezinduliwa mbona huu uongo jamani? kwa nini msifamye tafiti kwanza jaman?
Kule Arusha watu wametengeneza Gari tena za Kwenda Mbugani ni full umeme tu!
acheni kukuza watu kwa kuwa tu wana majina makubwa! acheni kumtafutia mtu promo kiboya
angalieni hapa
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app