masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
Ustaarabu unaanzia kichwani.Hilo jsmbo huwezi zuia. Vijana hawaba chakupoteza kama serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira.
mmekaa huko ofsini mnaanza kuwaona vijana kama washenzi fulan hivi!
Na huo ni mwanzo vijana wameanza kuamuka hiyo nation cake itaanzaa kuwa chungu hasa kupitia hili bomu la bodaboda na bajaji litakuja kuleta mabadiliko mengi
Kinachofanya bodaboda na bajaji asisimame kwenye taa ni ni mazingira pia?Hilo jsmbo huwezi zuia. Vijana hawaba chakupoteza kama serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira.
mmekaa huko ofsini mnaanza kuwaona vijana kama washenzi fulan hivi!
Na huo ni mwanzo vijana wameanza kuamuka hiyo nation cake itaanzaa kuwa chungu hasa kupitia hili bomu la bodaboda na bajaji litakuja kuleta mabadiliko mengi
Huyu Mkuu wa Mkoa wa sasa amekuwa na ujasiri wa kupambana na kero kubwa ya lawlessness ya bajaji mkoani Mbeya.Nasikia Mbeya Kuna Bajaji nyigi sanaaaa
Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.Kinachofanya bodaboda na bajaji asisimame kwenye taa ni ni mazingira pia?
Mkuu huna hoja.....bajaj Mbeya ni kero.Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.
Viongozi tulionao ni matokeo ya wananchi walivyo. Utapata jibu kama Taifa linavyoongozwa hakuna mipango thabiti, uwajibikaji hakuna, usimamizi hakuna, sera hakuna,
Leo wanakuja nahili kesho lile unategemea nini kitatokea mkuu?
Kupambana na bajaj bila kuleta njia mbadala ni upimbi tu
hayo magari ya zambia yanaleta ugali nyumbani kwako?
kmmk
Viongozi ni reflection ya wananchi nakubali,Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.
Viongozi tulionao ni matokeo ya wananchi walivyo. Utapata jibu kama Taifa linavyoongozwa hakuna mipango thabiti, uwajibikaji hakuna, usimamizi hakuna, sera hakuna,
Leo wanakuja nahili kesho lile unategemea nini kitatokea mkuu?
Ni nyingi mno, zinasaidia ila kama kawaida pia ni kero.Nasikia Mbeya Kuna Bajaji nyigi sanaaaa
Kila mji mkubwa kuna mlipuko wa bajaji na boda. Ndio zimetamalaki; zimefunika barabara zote na hali inazidi kuwa mbaya. Bila mkakati mahsusi barabara zita-jam completely.Nasikia Mbeya Kuna Bajaji nyigi sanaaaa
Tusivumilie na kupongeza fujo na taratibu zisizo za kistaarabu.Duh kutesa wananchi tu.
Kuna kiongozi aliwahi kusema bodaboda sio ajira wakamjia juu leo hawa vijana wanaacha bajaji watafanya shughuli gani?Hilo jsmbo huwezi zuia. Vijana hawaba chakupoteza kama serikali imeshindwa kuwatengenezea mazingira.