Siyo Mbeya tu miji yote nchini hata Dsm ambako Chalamila anazitetea ni kero kwenye highwayView attachment 3695663
View attachment 3695664
Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.
Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.
Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
Bajaji nyingi kuliko watuNasikia Mbeya Kuna Bajaji nyigi sanaaaa
Kosa la nyuma halihalalishi uozo unaoonekana sasa huko Mbeya na miji mikuu mimgi nchini.Izo bajaji zililetwa siku moja zikajaa Hapo Mbeya? Hamna maduka ambayo yapo hapo bado yanaendea kuuza bajaji? Na spare parts
Chalamila kashindwa, Kariakoo alisema kuanzia tarehe 24 mwezi huu, machinga waondoke, ila jana kwa siasa za kila siku, eti wameambiwa wabaki kwanzaKosa la nyuma halihalalishi uozo unaoonekana sasa huko Mbeya na miji mikuu mimgi nchini.
Naunga mkono, huyo Mkuu wa Mkoa Mbeya akumalizana na bajaji huko aletwe Dar, Chalamila ana zingua.
Jiji ganinlinatawaliwa na wahuni, utafikiri serikali na vyombo vya kupanga ustaarabu havipo kabisa.Kwa hali ilivyokuwa Mbeya ,ilikuwa ni aibu ukitaja kama moja ya majiji ya Tanzania
Kama hii ndo sababu bado hoja yako haitoshi kuzuia vijana kuweka chakula mezani.Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.
Na kugeuzia hapo hapo!Mbata zaidi wanaoziendesha wanapakia na kushusha abiria popote iwe kwenye junction au katikati ya barabara
Huwezi kutufanya kero unayoisababisha kuwa kipato chako.Kama hii ndo sababu bado hoja yako haitoshi kuzuia vijana kuweka chakula mezani.
Tuna viongozi wasio na maono kabisa. Milima ya ipo, kokoto zipo,nguvu kazi ipo. Lakini serikali inajenga vichochoro badala ya barabara. Hawafanyi tathmini kuona miji inakua.
Serikali ijenge barabara kubwa za kueleweka. Nini kinakwamisha hili jambo haswa ?. Kama wanataka kudhibiti bajaji basi waanze ku limit uagizaji wake kutoka nje.
hao vijana unatarajia wakafanye shughuli gani mkuu? . Waendeshe vipi maisha yao. Huwezi ukaniambia niende shamba kulima alafu wewe umekaa ofisini kuna AC, unatembelea LC na dereva juu, una bima ya afya, unaweza kuchukua mkopo ata 50M.
Shamba kulima sio adhabu kaka. Haiwezekani wote wakakaa ofisini au kutumia LC; ni mgawanyo tu majukumu. Kesho wa bajaji atatumia LC na wa LC leo, kesho atafanya kazi nyingine. Muhimu sheria zizingatiwe.Kama hii ndo sababu bado hoja yako haitoshi kuzuia vijana kuweka chakula mezani.
Tuna viongozi wasio na maono kabisa. Milima ya ipo, kokoto zipo,nguvu kazi ipo. Lakini serikali inajenga vichochoro badala ya barabara. Hawafanyi tathmini kuona miji inakua.
Serikali ijenge barabara kubwa za kueleweka. Nini kinakwamisha hili jambo haswa ?. Kama wanataka kudhibiti bajaji basi waanze ku limit uagizaji wake kutoka nje.
hao vijana unatarajia wakafanye shughuli gani mkuu? . Waendeshe vipi maisha yao. Huwezi ukaniambia niende shamba kulima alafu wewe umekaa ofisini kuna AC, unatembelea LC na dereva juu, una bima ya afya, unaweza kuchukua mkopo ata 50M.
Hata ungepanua miundombinu kwa kiwango chote, automatically wataji-adjust kui-cover. Hii hii iliyopo taratibu zizingatiwe. Kama RC Mbeya amekosea, onesheni kosa alilofanya badala ya kutetea uhuni kwa kisingizio cha ugali mezani!Mchawi miundombinu tu serikali isitafute kichaka cha kujifichia
Nime quote hii replay maana ndo nilichokua nawaza naona jamaa ame elezea kwa ufupi.Huwezi kutufanya kero ubayoisababisha kuwa kipato chako.
Huo si ustaarabu wa kuishi mijini.
Mwisho utaweka genge kati kati ya barabarabilibulishe familiavyajo.
Haikubaliki.
Serikali iwajibike kabla ya kukimbilia kutesa vijana. Nini kinakwamisha kujenga barabara kubwa. Ufisadi na rushwa, ubinafsi na ulafi pesa za miradi hazifiki kwenye miradi. Zikifika basi sio kama zilivyopangwa.Mchawi miundombinu tu serikali isitafute kichaka cha kujifichia
Naweza kubaliana na hilo.Masikini ukiwaendekeza watakunya mpaka mlangoni kwako
Sio kazi ta serikali kutafuta suluhisho,
kazi ya serikali ni kuweka miongozo, na mmoja wapo ndio huo, hakuna bajaji mjini
suluhisho watafute wenyewe waendesha bajaji
Kuwajibika kwa serikali ni kuwaondoa wazururaji ,wavutabangi wanaojificha nyuma ya mgongo wa bajaji.Nime quote hii replay maana ndo nilichokua nawaza naona jamaa ame elezea kwa ufupi.
Serikali iwajibike kabla ya kukimbilia kutesa vijana. Nini kinakwamisha kujenga barabara kubwa. Ufisadi na rushwa, ubinafsi na ulafi pesa za miradi hazifiki kwenye miradi. Zikifika basi sio kama zilivyopangwa.
Kabla ya sheria, everyone should be responsible.Shamba kulima sio adhabu kaka. Haiwezekani wote wakakaa ofisini au kutumia LC; ni mgawanyo tu majukumu. Kesho wa bajaji atatumia LC na wa LC leo, kesho atafanya kazi nyingine. Muhimu sheria zizingatiwe.
Naunga mkono hoja.View attachment 3695663
View attachment 3695664
Pamoja na mandhari isiyoridhisha katikati ya mkoa wa Mbeya, bajaji zimekuwa zinaonyesha uozo mkubwa zaidi kiutawala Jiji la Mbeya, kwa upande wa usafiri wa umma.
Bajaji zimeonyesha lawlessness, zinakupita kulia na kushoto na kwa hakika ni kero kubwa.
Tukumbuke, toka Uyole hadi Mafiati, na kwenda Iwambi hadi Mbalizi, magari hasa makubwa yaelekeayo Zambia na Congo yanapita kwa shida sana.
Nampongeza Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kulivalia njuga kero ya bajaji na kurejesha ustaarabu jijini Mbeya.
Kero ikidhibitiwa Mbeya, tutaiomba serikali aletwe hapa Darisalama napo ili padhibitiwe.
Huwezi kuondoa bajaji ukaacha mafisadi ofisini sio sawa mkuu.Kuwajibika kwavserikali ninkuwaondoa wazurursji ,wavutabangi wanaojificha nyuma ya mgongo wa bajsji.
Hakuna mji wa kistaarabu unaoendeshwa na kuruhusu wahuni watawale barabara.
Wameelekezwa njia mbadala za kufanyia shughuli zao.Kabla ya sheria, everyone should be responsible.
Tumeona utitiri wa bajaji na bodaboda, Je tunazalisha wenyewe hapa ndani ? Kama mamlaka inataka kudhibiti hili basi wazuie uingizaji wake/walimit ili zisizagae. Zinaingizwa nyingi kupita kiasi na zinatolewa kwa mkopo.
Halafu zimeshafika barabarani ndo wanajitokeza ku eliminate. Hawapo serious.