masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,870
- 15,068
- Thread starter
-
- #61
Mkuu kuondoa wahuni barabarani si mjadala wa kisiasa.Huwezi kuondoa bajaji ukaacha mafisadi ofisini sio sawa mkuu.
Kabla ya mji wa kistaarabu tunahitaji serikali ya kistaarabu. Viongozi walio staarabika na wenye aibu na hofu mbele ya fedha za umma.
Naona hadi nimetoka nje ya mada lakini point yangu hasa ni serikali imekua ya kinafki. Hao wanaoimba amani halafu ni watekaji. Hao wanaofukuza bajaji alafu TRA anafurahia kodi za mizigo bandarini.
Strategic Plan haijafanyika baada ya miaka mitano kitakuwa ni kilio cha nchi nzima! Lakini tatizo lilianza polepole kila mwaka tunazalisha vijana kiasi gani? Wengi wanaingia kwenye sekta ya usafirishaji kwanini? Tena bila hata licence! Lakini pia hizi machine zinaingia kila leo bandarini udhibiti uko wapi?Kosa la nyuma halihalalishi uozo unaoonekana sasa huko Mbeya na miji mikuu mimgi nchini.
Naunga mkono, huyo Mkuu wa Mkoa Mbeya akumalizana na bajaji huko aletwe Dar, Chalamila ana zingua.
Hakuna cha strategic plan wala nini, sheria zimetungwa ili watu mijini waishi kwa ustaarabu.Strategic Plan haijafanyika baada ya miaka mitano kitakuwa ni kilio cha nchi nzima! Lakini tatizo lilianza polepole kila mwaka tunazalisha vijana kiasi gani? Wengi wanaingia kwenye sekta ya usafirishaji kwanini? Tena bila hata licence! Lakini pia hizi machine zinaingia kila leo bandarini udhibiti uko wapi?
Wee endelea kula kiyoyozi kwanza hizo bajaji ni zenu vijana ni vibarua tuu ingieni huko shamba mlikowatoa muwekeze kwenye kilimo.Hakuna cha strategic plan wala nini, sheria zimetungwa ili watu mijini waishi kwa ustaarabu.
Wee endelea kula kiyoyozi kwanza hizo bajaji ni zenu vijana ni vibarua tuu ingieni huko shamba mlikowatoa muwekeze kwenye kilimo.Hakuna cha strategic plan wala nini, sheria zimetungwa ili watu mijini waishi kwa ustaarabu.
Kula kiyoyozi tutakula.Wee endelea kula kiyoyozi kwanza hizo bajaji ni zenu vijana ni vibarua tuu ingieni huko shamba mlikowatoa muwekeze kwenye kilimo.
Du.. ni kweli lakini...!!!Kula kiyoyozi tutakula.
Hatuwezi kuwa wote kambale duniani.
Miji lazima itawalike.
Kuna kilimo mkuu, tena Mbeya?Strategic Plan haijafanyika baada ya miaka mitano kitakuwa ni kilio cha nchi nzima! Lakini tatizo lilianza polepole kila mwaka tunazalisha vijana kiasi gani? Wengi wanaingia kwenye sekta ya usafirishaji kwanini? Tena bila hata licence! Lakini pia hizi machine zinaingia kila leo bandarini udhibiti uko wapi?
Shughulikieni chanzo sio matokeoKuna kilimo mkuu, tena Mbeya?
Kwani lazima uingie mjini?
Usijivue gamba , na wewe umo katika tatizo.Shughulikieni chanzo sio matokeo
Nifatilie utanielewa tokea hii mada imeanza! Hao vijana hawajafika hapo bahati mbaya tukitaka tuwatoe road basi tuweke mizani sawa.Usijivue gamba , na wewe umo katika tatizo.
Watu wakalime.
Kiongozi safi anatokana na wananchi safi. Usitegemee viongozi safi kwa wananchi wasiyo safi. Tanzania wote hatuko safi ili tuna tabia ya kuwasema wengine kwamba siyo wasafi ili sisi tuonakane wasafi.Viongozi wasio wasafi usitegemee wananchi watakuwa wasafi pia.
Viongozi tulionao ni matokeo ya wananchi walivyo. Utapata jibu kama Taifa linavyoongozwa hakuna mipango thabiti, uwajibikaji hakuna, usimamizi hakuna, sera hakuna,
Leo wanakuja nahili kesho lile unategemea nini kitatokea mkuu?
Waliyokosea toka mwanzo na kuziruhusu kuingia kwa wingi ni kina nani!... ila bajaji na boda hata kama ni ajira hapa! It's too much. When it comes ustaarabu wa barabarani ni kero inayovuka mipaka sio kwa magari tu bali kwa wote including waenda kwa miguu. Ni hatari kwa watoto.
Tatizo ni CCM, walikuwa wakisema ni wapiga kura wao!Waliyokosea toka mwanzo na kuziruhusu kuingia kwa wingi ni kina nani!
Ova
Wewe ndio unajua kwahiyo boda na bajaj hujui kipato cha mtu binafsi?Hujui hata nasuala ya kipato cha mtu binafsi kutokana na usafiri wa magari makubwa.
Wape ajira sasa wakae kwenye viyoyozi kama wewe!Strategic Plan haijafanyika baada ya miaka mitano kitakuwa ni kilio cha nchi nzima! Lakini tatizo lilianza polepole kila mwaka tunazalisha vijana kiasi gani? Wengi wanaingia kwenye sekta ya usafirishaji kwanini? Tena bila hata licence! Lakini pia hizi machine zinaingia kila leo bandarini udhibiti uko wapi?
Ninyi wahuni mliozaliwa ghetto na kunya kwenye rambo, ustaarabu uko mbali sana na ninyi.Wewe ndio unajua kwahiyo boda na bajaj hujui kipato cha mtu binafsi?
bajaj hazina kipato binafsi?
hata maroli na mabus ni kero pimbi wewe!
Ulizaliwa uwe punda wa wengine, na ulipwe kwa ujira huo.Wape ajira sasa wakae kwenye viyoyozi kama wewe!