Mkuu umenena vyema kbsa...
Siku zote ukiona dini inafanywa kuwa nyepesi kwa ku modify baadhi ya sheria ujue ishakua ya kitapeli
Kwa hivyo siku hizi uaminifu ni suala la dini sio mtu binafsi. Juzi hapa Kuna mwislamu kakimbiwa na mke wake Dubai, hapo utasema dini inahusika. Naona siku hizi jf imekuwa platform ya kushambulia ukristo.
Wenzetu wametuzidi sisi wakiristo hata kwenye mavazi ni hovyo sana tujirekebishe
Hata wadangaji, wengi ni wakristo.
Wewe ndio useme.
Muislamu safi ni mtu muaminifu sana..hili halina shaka.
Wenzetu wametuzidi sisi wakiristo hata kwenye mavazi ni hovyo sana tujirekebishe
Naelewa sana maana ya kuwa mkristo, sasa kama ukristo haufuati tabia za kristo tunasemaje..
Mkristo kitabu chake ni Biblia, wanatumia Biblia.
Mkristo siku ya ibada ni jumamosi au jumapili, wanaabudu siku hiyo ya jumapili,
Mkristo anaamini ufufuo na Ujio WA Kristo mara ya pili, nao wanaamini.
Ukristo ni kumkubali Yesu kama BWANA na mwokozi wa Maisha yetu,nao wanaamini hivyo.
Sasa kipi kinakufanya usiwaite kuwa ni Wakristo?
Hii stori ya mito ya POMBE huko peponi.... ishaanza kuleta madhara huku down stairs.... soon watahamia upande wa tutagida....Sasa sisi tufanyaje..
Wewe na Huyo Kimaro mkasilimu.
Mtuache na ukristo wetu.
Umesahau hao waislamu ndo wanaongoza kwa njaa,shida ,matatizo wadada wengi wanaojiuza vijana wavivu.
Wakristo wengi wamesoma na ndio walioshika nyadhifa nyingi Serikali na private sector.
Halfu alivyoongea hiyo kauli hiyo ni Tabia ya mtu wala sio DINi..
Namaliza kama unataka kuwa muislam mkaslimu.
Msituzoee na mtuache na ukristo wetu maana naona maneno yameanza kuwa mengi .
Tukigusa upande wao hata moderator wanafuta thread zetu.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hapa issue sio uaminifu kati ya mabinti wa kiislam na kikristo,ni statistic's tu-katika watanzania 10 kuna wakristo 8 na waislam 2 tu .So, katika Watanzania 60M unaweza ukajua wakristo ndio wengi-hivyo wataonekana zaidi kwa matendo yao na kwa kila kitu na wachache hawatoonekana
mchungaji kasema ukweli lakini ndo hivo.
Vijana wa Kikristo hawana hofu yoyote wanafanya mambo ya ajabu tu aisee kama vile hawana dini
Nenda kule zanzibar kwenye waislam wengi, kuna ustaarabu unauona hivi
zanzibar watu wanaogopa dhuluma, kitu cha mtu kinaogopwa kwa namna fulani, dereva taxii atakurudishia simu iliyosahaulika kwenye gari
Nini Chanzo
Mimi nadhani ni matunda ya mafundisho yetu yametufikisha hapo.
Na nina amini mengi ya madhehebu ya Kikristo ni fake
1.kuna maKanisa/ madhehebu yamehalalisha pombe, japo ulevi umekatazwa
2.Vitu vingi vinavyokatazwa na biblia tunaambiwa tupo agano jipya lisilo na amri yoyote bali Yesu tu
tunaambiwa tule chochote kwani vimetakaswa
3.Tunaambiwa/kufundishwa kuwa tuwe tu imani ,hakuna shida mbingu ni yetu
Naona hujui maana ya ukristo ndio maana unapuyanga kila siku. Ndio maana nikasema wewe una shida sehemu.