Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rahisi Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wamengia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.
Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.
Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
πSa100 anacheza namba ngapi, pale Yanga na Simba ? π€π€
Subiri matusi toka kwa kenge wa chademaKwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rahisi Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wamengia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.
Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.
Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
Heri kuwa Kenge kuliko kuwa mpumbavu kama pro-CCMSubiri matusi toka kwa kenge wa chadema
Pro-CCM wana IQ ndogo sanaUpuuzi Mtu pu
Kuingiza Siasa Kwenye Mpira
πππHongera pia kwa ukosefu wa maji, sukari, umeme na Us Dollars.
Tulijua tu ,kenge mlivyo na matusiHeri kuwa Kenge kuliko kuwa mpumbavu kama pro-CCM
Mkuu, Sifa zingine, unaweza chukiza hata non-livingthings,
Kenge manakesha kulaumu tu ,alili zenu kama sisimiziHongera pia kwa ukosefu wa maji, sukari, umeme na Us Dollars.
Hakuna matusi, wote tunapongeza sana ccm kwa ushindi wa simba na yanga.Subiri matusi toka kwa kenge wa chadema