Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.

Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika kuleta Maendeleo ya nchi. Kwa kweli tumefanikiwa sana na naona huko mbeleni tutakuja kufanya makubwa zaidi ya haya.

Angalau tumepata faraja katika kipindi hiki cha majonzi kwa kuwa na wawakilishi wawili kimataifa. Si jambo dogo. Ni maendeleo makubwa sana.
 
Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rahisi Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wamengia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha.

Mshahara wa Pacome na Chama unalipwa na CCM...
 
Subiri matusi toka kwa kenge wa chadema
 
Back
Top Bottom